Kama mzazi ukimkuta mwanao amefanya hivi utamfanyaje, huna hela ya kununua mboga nyingine

Kama mzazi ukimkuta mwanao amefanya hivi utamfanyaje, huna hela ya kununua mboga nyingine

sasa ndio umuue mtoto kwa ajili ya miguu ya kuku? sikujua hilo sufuria lina hicho malala nje
mm nipo kwa Warangi huku hakuna mguu una kwato mbili ila Kitimoto
Kitimoto ina miguu ya kuku
 
sasa ndio umuue mtoto kwa ajili ya miguu ya kuku? sikujua hilo sufuria lina hicho malala nje
mm nipo kwa Warangi huku hakuna mguu una kwato mbili ila Kitimoto
Mtoto haadhibiwi kwasababu ya kilichomo.
Hata lingekuwa kande ingekuwa hivyo.

Anaadhibiwa kwa kosa la kukojolea.
Nyie ndo mnaleaga watoto kama mayai. Wanakuwa wajinga wajinga mwisho wa siku wanakuwa vibaka na wanawadhuru nyie wenyewe.
 
Badala ya kumpiga unapaswa umpeleke kwa daktari achunguzwe akili yake.
 
Anaadhibiwa kwa kosa la kukojolea.
Nyie ndo mnaleaga watoto kama mayai. Wanakuwa wajinga wajinga mwisho wa siku wanakuwa vibaka na wanawadhuru nyie wenyewe.
acha kurukia Treni kwa mbele km Mkokoteni
kwanini hamuendani na mada mnamtafta mchangiaji
mitoto yako ndio mijinga km wewe kibaka wahed ulivyolelewa kazi kuua tu hamjalaziishwa kuzaa
soma Mada Mtoto kapigwa mpaka KUFA
1572939705448.png
 
Mpaka mtoto anafanya hivyo inamaana hujamfunza vyema
Ikitokea amefanya hivyo nitaongea nae taratibu.
Mwisho wa siku chakula huoza si big deal, tutachemsha mihogo tunywe na chai tulale.
 
Mkojo sio sumu, hapo unahamishia mboga kwenye maji mengine then unatulia na unamwambia Dogo atulie akimwambia mtu yeyote ni viboko tu!

Hakuna harufu itakayopelekea mlaji yeyote kugundua kuwa chakula kimemixiwa na mkojo.
 
Mtoto hatakiwi kuleta utani kwenye chakula na haitakiwi kumwendekeza, huyo alistahili viboko hasa ili siku nyingine akitaka kufanya ushenzi kama huo matako yanawasha viboko vya zamani anaacha.
Hahahaa! Mtani nimevuta picha jinsi wababa mkiwakamata watoto hasa wanapoingia kwenye 18 zenu mnavyokosaga huruma.

Hapo katoto kangechakaa kwa kichapo japo ndio ingekuwa dawa
 
Mambo madogo Sana hayo...' wazee wa Mboga tunaongeza Maji kidogo sababu chumvi tayari' then tunapakua nakula
 
Namuweka super glue atakua anakojolea ndani Kwa ndani[emoji12] [emoji3] , ila huyo Dogo hajiheshimu hata kidogo yaani, mama nimejitahidi kununua kitoweo anafanyia mambo yake kwelii ntadundaa
 
Hata hivyo mkojo hauna shida kiafya, hapo ni kukachapa fimbo mbili na kukafokea kidogo, then upishi unaendelea bila watu wengine kujua kama kuna mkojo
 
Itabidi ujiulize kwanza wewe mzazi kuna pahala gani hujapaweka sawa mpaka kaweza kuwa na ujasiri wa namna hiyo.

Hapo ndipo utakapoipata tofauti kati ya hao akina Junia mnaowananga kila siku na akina Bakari.
 
Back
Top Bottom