johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mchawi nani? πOkay
Kiini macho ni sehemu ya Uchaguzi πMkuu uchaguzi haupo hiki ni kiin macho tu
Chadema waliokoteza watu masokoni na stend walikuwa hawana sifa!Ni vilio kila kona kutokea Serengeti hadi Kilosa makamanda wanadai Majina yao yamekatwa kugombea Uongozi wa Serikali za mitaa
Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Komredi Kinana alijiapiza mwaka huu hakunaga Jina litakatwa baada ya maridhiano
Sasa tatizo ni nini tena?!
Jumaa Mubarak π
Pia soma:
- LGE2024 - Dodoma: CHADEMA wadai kuna figisu majina ya wagombea kukatwa
-
Mafinga na Njombe nako wamekatwa wote πChadema waliokoteza watu masokoni na stend walikuwa hawana sifa!
Vurugu!Mafinga na Njombe nako wamekatwa wote π
Kwani waliomsaidia Magufuli kuubaka uchaguzi wa 2020, wote walizikwa naye ?Ni vilio kila kona kutokea Serengeti hadi Kilosa makamanda wanadai Majina yao yamekatwa kugombea Uongozi wa Serikali za mitaa
Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Komredi Kinana alijiapiza mwaka huu hakunaga Jina litakatwa baada ya maridhiano
Sasa tatizo ni nini tena?!
Jumaa Mubarak π
Pia soma:
- LGE2024 - Dodoma: CHADEMA wadai kuna figisu majina ya wagombea kukatwa
-
Ccm ni ile ileKwani waliomsaidia Magufuli kuubaka uchaguzi wa 2020, wote walizikwa naye ?
Jibu ni hapana ndio maana Nape mtumbo mara kadhaa amejitapa hadharani kuwa na uhakika wa kushinda uchaguzi kwa wizi.
WakomeNi vilio kila kona kutokea Serengeti hadi Kilosa makamanda wanadai Majina yao yamekatwa kugombea Uongozi wa Serikali za mitaa
Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Komredi Kinana alijiapiza mwaka huu hakunaga Jina litakatwa baada ya maridhiano
Sasa tatizo ni nini tena?!
Jumaa Mubarak π
Pia soma:
- LGE2024 - Dodoma: CHADEMA wadai kuna figisu majina ya wagombea kukatwa
-
Yule Mpuuzi wa chattle ndio aliasisi huu ushetani!Ni vilio kila kona kutokea Serengeti hadi Kilosa makamanda wanadai Majina yao yamekatwa kugombea Uongozi wa Serikali za mitaa
Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Komredi Kinana alijiapiza mwaka huu hakunaga Jina litakatwa baada ya maridhiano
Sasa tatizo ni nini tena?!
Jumaa Mubarak π
Pia soma:
- LGE2024 - Dodoma: CHADEMA wadai kuna figisu majina ya wagombea kukatwa
-
TissMchawi nani? π
Mchawi anajulikana ni Fisiemu. Kuna wachawi hata asemwe na kusimangwa kiasi gani hawezi kubadilika na kuacha uchawi. Hivyo wananchi wenye hasira kali huamua kujichukulia sheria mkononi.Mchawi nani? π
CCM siyo yenye shida bali watu ndiyo wenye shida.Mchawi anajulikana ni Fisiemu. Kuna wachawi hata asemwe na kusimangwa kiasi gani hawezi kubadilika na kuacha uchawi. Hivyo wananchi wenye hasira kali huamua kujichukulia sheria mkononi.
Wanaccm , hawana maadili na uwajibikaji ndio shidaCCM siyo yenye shida bali watu ndiyo wenye shida.