John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Tatizo ni Katiba mbovu tuliyonayo,Ni vilio kila kona kutokea Serengeti hadi Kilosa makamanda wanadai Majina yao yamekatwa kugombea Uongozi wa Serikali za mitaa
Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Komredi Kinana alijiapiza mwaka huu hakunaga Jina litakatwa baada ya maridhiano
Sasa tatizo ni nini tena?!
Jumaa Mubarak 😃
Pia soma:
- LGE2024 - Dodoma: CHADEMA wadai kuna figisu majina ya wagombea kukatwa
-