FestoKaguo
Senior Member
- Apr 1, 2022
- 128
- 202
Najua vijana wengi wa kitanzania hasa wa umri kuanzia miaka 17 na kuendelea, huwa tunapenda sana kujifunza fursa mpya zinazotokana na maendeleo ya sayansi ya teknolojia. Kwa sasa ukiangalia, vijana wengi sana wanatumia muda wao mwingi kujifunza njia mbali mbali za kujiingizia kipato kupitia mtandao especially upande wa blockchain and cryptocurrency.
By the way cryptocurrency ina uwana mpana sana wa kujiingizia kipato lakini pia, kuna kosa kubwa ambalo nimeona vijana wengi wanaopata Bahati ya kulipwa kwa crypto huwa wanalifanya. Watu wengi wakilipwa kwa crypto huwa na kawaida ya hukimbilia kuziuza zote ili wapate cash kwa ajili ya kwenda kufanyia mambo yao haraka haraka.
Hilo ni tatizo kwa sababu ukiuza USDT zako zote unabaki hauna other option inayoweza kukusaidia siku za mbele, yaani ni sawa na umeenda bank kutoa hela zote zilizokuwepo kwenye account halafu unasubiri mpaka mwezi ujao ulipwe tena ndio akaunti yako iwe na salio.
Kuna hii option inapatikana kwenye exchange ya binance inaitwa LOANS, achana na ile mikopo ya kausha damu sijui vikoba, stay with me hebu nipatie dakika kadhaa nitaielezea kidogo hii BINANCE LOANS.
Tukisema Binance Loans ni kama mkopo wa kawaida tu ule wa bank, ila tofauti yao kubwa ni kwamba dhamana (collateral) yako huku inakuwa si nyumba wala gari bali ni ni crypto zako tu. Ngoja tutumie mfano huu wa kawaida ili unielewe vizuri
“Tuchukulie umeenda benki, ukawaambia unahitaji kukopa milioni 10 na unahitaji kuweka nyumba yako au kiwanja chako kama dhamana na wakakukubalia bila shida. Sasa, shida ya bank au taasisi nyingine za kifedha ni kwamba , kitokea ukashindwa kulipa deni lako, hizo taasisi au hiyo benki itakuja na kuuza nyumba yako. Hata kama nyumba ilikuwa na thamani ya milioni 50, wao watachukua kiasi cha deni lao na wewe unabaki huna kitu.
Sasa tuchukue mfano wa crypto
Ukiwa na BTC yenye thamani ya $100 (Tsh 249,491/=), Binance itakupa loan hadi asilimia 78 za za pesa ulizonazo yaani hawakupi kiwango kinachozidi thamani ya pesa uliyonayo hivyo kama ulikuwa na 100$ wao watakupa $78. Coin zako zinashikiliwa kama dhamana. Ukishindwa kulipa na thamani ya BTC ikashuka chini sana, Binance inaweza kuzi-liquidate (kuzipiga mnada) lakini kwai le ile 78% ambayo ulipewa wanakuachia 22% zako. Lakini tofauti ni kwamba ukirudisha mkopo kwa wakati, unapewa BTC zako zile zile. Na kama thamani ya BTC imepanda, basi unarudishiwa holdings zenye value kubwa zaidi.
Faida ya kutumia binance loans ni nini haswa?

- Kwanza kabisa unakuwa na cash flow ya haraka bila kuuza BTC/ETH au any crypto unayoimiliki
- Bado unabaki exposed kwa growth ya market haswa kinapokaribia kipindi cha bullrun coin zikipanda bado unabaki kupata faida za kile ulichowekeza/ unachokihold
- Repayment terms ziko flexible sana
Hasara / Risk za kutumia binance loans
- Ikiwa coin zako zitashuka sana, unaweza kulazimishwa kuuza kwa hasara (liquidation)
- Kuna interest fees ambazo lazima ulipie
- Inahitaji discipline, siyo magic trick ya kutengeneza hela mara nyingi ni nzuri kuitumia coin zinapokuwa zimeshuka sana kuliko zinapokuwa zimepanda gharama sana.
Bottom line
Binance Loans inafanya kazi sawa na bank loan, lakini dhamana yako unayoiweka kule inakuwa ni digital asset tofauti na hizi physical assets kama nyumba, viwanja, magari n.k
Kwa yeyote anayetaka kusoma zaidi, resource rasmi ya Binance Loans iko hapa 👉 THE 29 POWER PACK - Gaby Loves Tech
Whatsapp 0765772976