Kama na wewe unakerwa na nyuzi za "TUKUTANE HAPA" basi tukutane hapa

Wazee wa Tukutane Hapa wanakukera nini? JF is a free site learn to be diplomatic and accept other people opinions/ perspectives.
 
Cha ajabu wakati wengine wanaanzisha nyuzi kulegeza wadada, nyuzi taamu, sisi tunalegea na kulainika halafu tunaenda kukazwa na ambao hata huo muda hawana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Labda umaarufu!!
Mimi ndo hao ambao hata huo muda sina
 
kama umewahi kuchukua bar maid tukutane hapa
 
Oya! Tesla! Mzee wa free energy, taratibu Mzee, unajua wewe ndiye uliyegundua kusafirisha umeme kwa njia ya wireless.😎😎

Chaja niaje aje tena?
Walinizungua wenye matransformer dunian ...

Aisee ...

Mwenye tooth pick ansaidie ...

Nyama imenata
 
naunga mkono hoja
 
Mmmh hunitakii mema

Msionitakia mema karibun hapa
Muungane na mwenzenu
Hahahah.

Kwa hiyo, TUKUTANE HAPA.

Dah! Nafikiria kufanya mazoezi hapa juzi nilizidisha squat mapaja yanauma ajabu yani.
 
Kama umewahu kulala Lodge zenye vitanda vibovu usipite bila ku like hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…