Kama naingia IDODOMA vile

Karibu mkuu.

Inaonekana umejiunga JF muda mrefu ila hujawahi kupost chochote
 
Birthday yako inaonyesha una miaka mitano yani 5 yrs old.. Umejifunzia wap kuandika?

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Hahahaa mwaka mmoja umenitosha kujua kusoma na kuandika

Tunakosea sana Tunapatia kidogo...
 
Asante pacha

Tunakosea sana Tunapatia kidogo...
 
Ukifka udom msalim
Neema

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Mi nakumbuka nilijiunga jf 2009 ila kutokana na kuwa busy na shule nilisahau na password nilipoamua kubadili ndo ikaja hii ila username bado nakumbuka tatizo pssword ishanitoka kichwani .
 
Mi nakumbuka nilijiunga jf 2009 ila kutokana na kuwa busy na shule nilisahau na password nilipoamua kubadili ndo ikaja hii ila username bado nakumbuka tatizo pssword ishanitoka kichwani .
Muhenga!

Tunakosea sana Tunapatia kidogo...
 
Ni kweli mi kamuhenga kadogo. Maana wengi humu internet wameanza kutumia baada ya kuingia chuo kikuu.
Hahahaa sio kamuhenga wewe ni MUHENGA"

Tunakosea sana Tunapatia kidogo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…