zedcom
Member
- Apr 1, 2016
- 19
- 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Birthday yako inaonyesha una miaka mitano yani 5 yrs old.. Umejifunzia wap kuandika?
Karibu pacha wangu!Napenda kusoma zaidi mkuu
Tunakosea sana Tunapatia kidogo...
Ni kweli mi kamuhenga kadogo. Maana wengi humu internet wameanza kutumia baada ya kuingia chuo kikuu.Muhenga!
Tunakosea sana Tunapatia kidogo...
Ahaaa umenikomalia sana mkuu basi mimi ni muhengaHahahaa sio kamuhenga wewe ni MUHENGA"
Tunakosea sana Tunapatia kidogo...