Wana JF,
Napata shida kuhusu maneno "nyimbo" na "wimbo".
Nilifundishwa kuwa "wimbo" ni umoja na "nyimbo" ni wingi.
Sasa kila siku kwenye redio zetu ".. Nyimbo moja ya banana zoro..." Nadhani ilipaswa kuwa " wimbo mmoja wa banana zoro.."
Nikosoeni kama nimekosea