kama nakosea niambieni

kama nakosea niambieni

Speedo

Member
Joined
Feb 15, 2011
Posts
70
Reaction score
19
Wana JF,
Napata shida kuhusu maneno "nyimbo" na "wimbo".
Nilifundishwa kuwa "wimbo" ni umoja na "nyimbo" ni wingi.
Sasa kila siku kwenye redio zetu ".. Nyimbo moja ya banana zoro..." Nadhani ilipaswa kuwa " wimbo mmoja wa banana zoro.."
Nikosoeni kama nimekosea
 
Hujakosea, hawa watangazaji waliosoma shule za vidatu ndio wanakosea!!
 
Back
Top Bottom