Kama namuona Mchungaji Msigwa na Zitto Kabwe wanavyochekelea Chadema wakitifuana

Msigwa ni mjinga.

Kwani kuna mtifuano gani CHADEMA?

Watu kugombea nafasi zitakazokuwa wazi ni kutifuana?

Kweli kuna watu hawana akili!!
Kila mara Mbowe amesisitiza kuwa CHADEMA siyo ya Mbowe, siyo ya Lisu wala Mnyika, ni chama cha watanzania wote, hivyo kila mtu ana haki kugombea nafasi yoyote alimradi awe na sifa.
 
Mambo ya Chadema yabaki Chadema, ya CCM nayo vile vile

Mengine sasa ni wehu wa vijana wa uvccm
 
Mijitu inashangaa demokrasia ndani ya CHADEMA, hakuna cha ajabu hapa. Ameomba kugombea, atashinda au atashindwa. That will be it
 
safari hii chadema wana bahati na fursa ya kuionyesha nchi na dunia kuhusu ukomavu wao kidemokrasia itakiimarisha sana chama ili mradi isiwepo mizengwe. we wish you all the best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…