Matango JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 535 Reaction score 118 Mar 14, 2014 #1 wapendwa inabidi niamini tu!!! Malaika wa baba wa taifa mwalimu nyerere malaika wa sheikh abeid karume wote wameisimamia nchi yao!!!! Mungu ibariki tanzania. Wajumbe wote wanaapa kuilinda jamhuri hii ya muungano wa tanzania. Wale waliokuwa wanasubiri kugawana mbao, wakagawane mbao za vitanda labda majumbani mwao !!!! nakumbuka kuna wajumbe jana walihoji mantiki ya kiapo, sijui walikuwa na wasiwasi kuwa wakikikuka nini kitawapata? Mungu ibariki tanzania ! Mungu warithishe watoto na wajukuu zetu ! Tanzania.
wapendwa inabidi niamini tu!!! Malaika wa baba wa taifa mwalimu nyerere malaika wa sheikh abeid karume wote wameisimamia nchi yao!!!! Mungu ibariki tanzania. Wajumbe wote wanaapa kuilinda jamhuri hii ya muungano wa tanzania. Wale waliokuwa wanasubiri kugawana mbao, wakagawane mbao za vitanda labda majumbani mwao !!!! nakumbuka kuna wajumbe jana walihoji mantiki ya kiapo, sijui walikuwa na wasiwasi kuwa wakikikuka nini kitawapata? Mungu ibariki tanzania ! Mungu warithishe watoto na wajukuu zetu ! Tanzania.
K kingukitano JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 1,971 Reaction score 497 Mar 14, 2014 #2 Hahahahahaha,Wsjanja tumeisoma kaka,achana na kale kawimbo TBC kabla ya taarifa ya habari,,,Yaani Baba Nyerere na karumeeeee Baba Nyerere na Karume. hakika huchomoki mtu hapa
Hahahahahaha,Wsjanja tumeisoma kaka,achana na kale kawimbo TBC kabla ya taarifa ya habari,,,Yaani Baba Nyerere na karumeeeee Baba Nyerere na Karume. hakika huchomoki mtu hapa
dansmith JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 2,305 Reaction score 2,095 Mar 14, 2014 #3 Huo ni uongo wa mchana hakuna sehemu kwenye kiapo inasema watailinda jamuhuri ya muungano labda TV yako ni TV kisogo pôle sana
Huo ni uongo wa mchana hakuna sehemu kwenye kiapo inasema watailinda jamuhuri ya muungano labda TV yako ni TV kisogo pôle sana
mwanawao JF-Expert Member Joined Aug 18, 2010 Posts 3,192 Reaction score 5,743 Mar 14, 2014 #4 Acha utoto wewe, ni mawaziri wangapi wameapa bungeni na bado wameishia kulifisadi taifa. Dhamira ya kulitumikia Taifa nikutoka ndani ya moyo na siyo kwa unafiki wa kihivyo.
Acha utoto wewe, ni mawaziri wangapi wameapa bungeni na bado wameishia kulifisadi taifa. Dhamira ya kulitumikia Taifa nikutoka ndani ya moyo na siyo kwa unafiki wa kihivyo.
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,422 Reaction score 7,350 Mar 14, 2014 #5 Wangapi wameampa Kuilinda Katiba ya Tanzania ya Mwaka 77,na leo wapo bungeni wanashiriki kuivunja ya mwaka 77,na kutengeneza mpya
Wangapi wameampa Kuilinda Katiba ya Tanzania ya Mwaka 77,na leo wapo bungeni wanashiriki kuivunja ya mwaka 77,na kutengeneza mpya
S Sometimes JF-Expert Member Joined Dec 28, 2010 Posts 4,536 Reaction score 1,132 Mar 14, 2014 #6 Wameapa kwa Katiba ya sasa kwani ndiyo inayotumika! Mwakani wataapa kwa katiba mpya ambayo itarejesha nchi yetu ya ahadi Tanganyika.
Wameapa kwa Katiba ya sasa kwani ndiyo inayotumika! Mwakani wataapa kwa katiba mpya ambayo itarejesha nchi yetu ya ahadi Tanganyika.