Matango
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 535
- 118
wapendwa inabidi niamini tu!!!
Malaika wa baba wa taifa mwalimu nyerere
malaika wa sheikh abeid karume wote wameisimamia nchi yao!!!!
Mungu ibariki tanzania.
Wajumbe wote wanaapa kuilinda jamhuri hii ya muungano wa tanzania.
Wale waliokuwa wanasubiri kugawana mbao, wakagawane mbao za vitanda labda
majumbani mwao !!!!
nakumbuka kuna wajumbe jana walihoji mantiki ya kiapo, sijui walikuwa na wasiwasi kuwa wakikikuka nini kitawapata?
Mungu ibariki tanzania ! Mungu warithishe watoto na wajukuu zetu ! Tanzania.