Kama Nape, Mwigulu, January na sasa Kigwangalla wameathiriwa na siasa chafu basi "huyo" aliyeko nyuma ya Pazia ni mtaalamu haswa!

Kwahiyo kumiliki mabasi, chuo na mifugo ndio kutusua........hahahaaaa!

Mbona sasa haishi kulialia?!

Unaelewa maana ya ownership bwashee?!........ Huko kulialia na hivyo viYutong na tumbuzi ndio ukilaza wenyewe.
Wewe una nini?
Acha wivu
 
siasa anatakiwa kufanya nani? aliyekimbia shule kama Lusinde na Msukuma?
 
Nakuuliza wewe unaelialia!

Kipanga bungeni anatafuta nin?i....... Mtu anayekimbia fani yake ili akajumuike na akina Dr Msukuma na Dr Kibajaji mjengoni huyo ni kilaza tu!
Ni Tanzania pekee ambapo sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika while sifa ya kuwa dereva wa serikali ni kuwa na elimu angalau ya kidato cha nne,ccm na watu wake wanapaswa kuingizwa kwenye maajabu ya dunia
 
Siasa za ccm ni za maji taka
 
Wewe na timu yako ya kusifu na kuabudu na nyiyi someni alama za nyakati. Mealimie Wakudadavua mweleze alama za nyakati znamhusu.

Kichaa Hana simile.
 
Wewe na timu yako ya kusifu na kuabudu na nyiyi someni alama za nyakati. Mealimie Wakudadavua mweleze alama za nyakati znamhusu.

Kichaa Hana simile.
Wakudadavuwa anasubiri kuvaa viatu vya Kangi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…