Kama nawaona Wazee wa Dar es Salaam waliopiga makofi na kushangilia aliposema Who are you?

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Duniani kosa vyote usikose akili

Bibi muuaji baada ya kuuwa Watanganyika alijisifia kwa ngebe mbele ya Wazee wa Dar es Salaam kuwa nguvu aliyotumia hadi kuuwa watu ilikuwa sahihi.

Zaidi akawauliza Waliomsema kuua, kuteka na kupoteza watu hasa Marekani na Umoja wa Ulaya "Who are You?" Huku akipigiwa makofi n wazee vilaz waliojaa njaa wa ccm wa mkoa wa Dar es Salaam

Leo Trump katuma salamu huko kakamata Rais wa Venezuela Maduro na mkewe tena ikulu.

Kama nawaona wazee wa Dar es Salaam walivyo na hofu na muuaji mwenzao😅😅😅
 
Who are you waliambiwa wale mashoga wa EU hakuambiwa Mmarekani.
 
Marekani kweli babalao!, masaa mawili tu mtu keshadakwa kama kuku bandani.
 
Duniani kosa vyote usikose akili

Bibi muuaji baada ya kuuwa Watanganyika alijisifia kwa ngebe mbele ya Wazee wa Dar es Salaam kuwa nguvu aliyotumia hadi kuuwa watu ilikuwa sahihi.

Zaidi akawauliza Waliomsema kuua, kuteka na kupoteza watu hasa Marekani na Umoja wa Ulaya "Who are You?" Huku akipigiwa makofi n wazee vilaz waliojaa njaa wa ccm wa mkoa wa Dar es Salaam

Leo Trump katuma salamu huko kakamata Rais wa Venezuela Maduro na mkewe tena ikulu.

Kama nawaona wazee wa Dar es Salaam walivyo na hofu na muuaji mwenzao😅😅😅
Kwahiyo Trump atamkamata Samia? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
We unaonaje?
Hahahaha ila nyie watoto mi sikuwahi tegemea sile mbwembwe zenu za kuichukua CDM mnefikia huku 🤣🤣🤣🤣🤣 mikwara na mihemuko ilikua mingi sana hatimaye sasa mmeishia kutamani usaidizi wa US vipi na Lissu wenu mmeshindwa kukinukisha?? 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom