Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,153
- 3,800
Nchi yetu imepitia vipindi kadhaa vigumu kwa nyakati tofauti. Kuna watu wamefaidika na wengine kuumizwa na vipindi hivyo. Hawa wote wapo,kwa maana waliofaidika na walioumizwa.
Anatoka mtu mmoja anatangaza tuache yoote tuanze upya! Na anayesema vile ni yule mnufaika. Je, siyo busara na aliyeumizwa akasikilizwa ili sasa upatikane muondoko mmoja?
Kuna wananchi wananingunikia yafuatayo:
1. Ndugu zao wamepotea kwa sababu za aidha kisiasa au kiusalama.
2. Uchaguzi 2020 kuvurugwa na kuporwa ushindi.
3. Viongozi wa kisiasa kuendelea kukamatwa kwa style ileile iliyolalamikiwa.
Nk
Ni nini kinakwamisha mwafaka wa yote haya na ni kwa manufaa ya nani?