Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
TANZANIA IJIANDAE KUANZIA WAKATI HUU, NA SIO WANGOJE MPAKA KARIBIA NA MWISHO, NDIPO WAANZE KUOKOTEZA WACHEZAJI, WAJENGE KIKOSI MAPEMA, NA KIWE KINACHEZA MECHI ZA KIRAFIKI NA TIMU NGUMU ZA HAPA AFRIKA.Hoja ni maandalizi ya mashindano sio ushiriki. Mbona vichwa vyenu vigumu kuelewa?
Kumbe huko sio Bashite au Napegwa tuu walio wazito kuelewa bali wote?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kuna siku hata ukifunga choo utasingizia ccmMchezo wa mpira wa miguu ni jambo kubwa sana na wenye kujua limewapandisha kiuchumi, kiwatambulisha duniani na hata kuleta amani kwenye vita.
Tumeona wote jinsi taifa la Ivory Coast lilivyoandaa kwa mafanikio na kupendeza sana AFCON 2023 wakati wao ni taifa dogo kulinganisha na Tanzania.
Sisi tumechaguliwa kuandaa kwa pamoja na nchi zingine za East Africa, lakini kila ukiangalia utayari wetu na jinsi tunavyokuwa na mambo ya kienyeji kutokana na uwezo mdogo wa maarifa wa serikali hii ya CCM ni wazi tunaenda kukumbana na AIBU KUBWA pengine tokea mashindano hayo yaanzishwe.
Kwa kushindwa huku kwenye umeme,maji, miundombinu ya usafiri na mawasiliano na coordination kwa ujumla TUSIPOIONDOA CCM madarakani 2025 na kuweka wenye ubunifu basi kijacho ni AIBU ambayo tunaosafiri nje ya nchi hii tutakana utaifa wetu tukiulizwa.
Unajiuliza mbona hawa Ivory Coast tumewazidi kwa mengi lakini tunashindwa na wao wenye raslimali chache na kuna kipindi vita viliwaathiri?
Tuwatoe CCM na kama mnawapenda kwa kulishwa limbwata basi 2030 tuone kama hamu nao bado mnayo warudisheni.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu pale, siku CCM wakiondoshwa basi Mambo yatakua shwariHivi kweli akili hizi za kina Ndumbaro na Katibu wake Msigwa ndio za kuongoza AFCON?
Hao sii watakuwa wanaimba mapambio tuu?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kila jambo ndani ya nchi ni muhimu, michezo, afya, kilimo na vyote!Kwa akili hizi wapi- mzani mna kazi, kwamba wananchi mahitajio yao toka kwa serikali ya CCM ni mpira/AfCon hadi waipige chini !?
Bure kabisa
Tumejifunza Kenya, Zambia Malawi Zimbabwe na kwingineko!, huko Zimbabwe wanakufa kwa kipindupindu kama inzi, viongozi wao wanajiona wana akili nyingi wameshindwa hata kupiga madawa kwenye makaro.Hakuna kitu pale, siku CCM wakiondoshwa basi Mambo yatakua shwari
Wanajiendea hovyo tuu hakuna uratibu wowote mzuri katika kila jambo.Hakuna kitu pale, siku CCM wakiondoshwa basi Mambo yatakua shwari
Tatizo lenu nyie wachagga, mna umimi na wabinafsi sana. Hii nchi haiwezi tawaliwa na lichama lenu la kikabila.Mchezo wa mpira wa miguu ni jambo kubwa sana na wenye kujua limewapandisha kiuchumi, kiwatambulisha duniani na hata kuleta amani kwenye vita.