Kama Nchi Tunataka AFCON '27 Isiwe Aibu? Ondoa CCM '25 Vinginevyo ni Majuto

Kama Nchi Tunataka AFCON '27 Isiwe Aibu? Ondoa CCM '25 Vinginevyo ni Majuto

Hoja ni maandalizi ya mashindano sio ushiriki. Mbona vichwa vyenu vigumu kuelewa?
Kumbe huko sio Bashite au Napegwa tuu walio wazito kuelewa bali wote?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
TANZANIA IJIANDAE KUANZIA WAKATI HUU, NA SIO WANGOJE MPAKA KARIBIA NA MWISHO, NDIPO WAANZE KUOKOTEZA WACHEZAJI, WAJENGE KIKOSI MAPEMA, NA KIWE KINACHEZA MECHI ZA KIRAFIKI NA TIMU NGUMU ZA HAPA AFRIKA.
 
Kwa akili hizi wapi- mzani mna kazi, kwamba wananchi mahitajio yao toka kwa serikali ya CCM ni mpira/AfCon hadi waipige chini !?

Bure kabisa
 
Mchezo wa mpira wa miguu ni jambo kubwa sana na wenye kujua limewapandisha kiuchumi, kiwatambulisha duniani na hata kuleta amani kwenye vita.

Tumeona wote jinsi taifa la Ivory Coast lilivyoandaa kwa mafanikio na kupendeza sana AFCON 2023 wakati wao ni taifa dogo kulinganisha na Tanzania.

Sisi tumechaguliwa kuandaa kwa pamoja na nchi zingine za East Africa, lakini kila ukiangalia utayari wetu na jinsi tunavyokuwa na mambo ya kienyeji kutokana na uwezo mdogo wa maarifa wa serikali hii ya CCM ni wazi tunaenda kukumbana na AIBU KUBWA pengine tokea mashindano hayo yaanzishwe.

Kwa kushindwa huku kwenye umeme,maji, miundombinu ya usafiri na mawasiliano na coordination kwa ujumla TUSIPOIONDOA CCM madarakani 2025 na kuweka wenye ubunifu basi kijacho ni AIBU ambayo tunaosafiri nje ya nchi hii tutakana utaifa wetu tukiulizwa.

Unajiuliza mbona hawa Ivory Coast tumewazidi kwa mengi lakini tunashindwa na wao wenye raslimali chache na kuna kipindi vita viliwaathiri?

Tuwatoe CCM na kama mnawapenda kwa kulishwa limbwata basi 2030 tuone kama hamu nao bado mnayo warudisheni.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kuna siku hata ukifunga choo utasingizia ccm

Matatizo yetu mengi yanasababishwa na mentality zetu kuanzia kwenye household
 
Hakuna kitu pale, siku CCM wakiondoshwa basi Mambo yatakua shwari
Tumejifunza Kenya, Zambia Malawi Zimbabwe na kwingineko!, huko Zimbabwe wanakufa kwa kipindupindu kama inzi, viongozi wao wanajiona wana akili nyingi wameshindwa hata kupiga madawa kwenye makaro.
 
Hakuna kitu pale, siku CCM wakiondoshwa basi Mambo yatakua shwari
Wanajiendea hovyo tuu hakuna uratibu wowote mzuri katika kila jambo.
Ukitaka kupanga hili au lile washajaa na mishati yao ya kijani na kuleta ngonjera zao za kusifiana hata panapostahili kukosolewa ili kurekebisha.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mchezo wa mpira wa miguu ni jambo kubwa sana na wenye kujua limewapandisha kiuchumi, kiwatambulisha duniani na hata kuleta amani kwenye vita.

Tumeona wote jinsi taifa la Ivory Coast lilivyoandaa kwa mafanikio na kupendeza sana AFCON 2023 wakati wao ni taifa dogo kulinganisha na Tanzania.

Sisi tumechaguliwa kuandaa kwa pamoja na nchi zingine za East Africa, lakini kila ukiangalia utayari wetu na jinsi tunavyokuwa na mambo ya kienyeji kutokana na uwezo mdogo wa maarifa wa serikali hii ya CCM ni wazi tunaenda kukumbana na AIBU KUBWA pengine tokea mashindano hayo yaanzishwe.

Kwa kushindwa huku kwenye umeme,maji, miundombinu ya usafiri na mawasiliano na coordination kwa ujumla TUSIPOIONDOA CCM madarakani 2025 na kuweka wenye ubunifu basi kijacho ni AIBU ambayo tunaosafiri nje ya nchi hii tutakana utaifa wetu tukiulizwa.

Unajiuliza mbona hawa Ivory Coast tumewazidi kwa mengi lakini tunashindwa na wao wenye raslimali chache na kuna kipindi vita viliwaathiri?

Tuwatoe CCM na kama mnawapenda kwa kulishwa limbwata basi 2030 tuone kama hamu nao bado mnayo warudisheni.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Tatizo lenu nyie wachagga, mna umimi na wabinafsi sana. Hii nchi haiwezi tawaliwa na lichama lenu la kikabila.
 
Lyrics

I don't know why I keep believing
That one day they'll bring us together
When they've shown
In more ways than one (One one)
That all they care about is the dollar
You belong to the one
Political party
I belong to the one
Musical party
Our differences are worlds apart
Just like guns and roses

If we don't take control
Of the situation
We'll stay forever
In this here commotion (This here commotion)
Of these guns and the roses
That we've got to live with
These guns and the roses

That we've got to live with
These guns and the roses
That we've got to live with

How can five years of power
Destroy a lifetime of togetherness
One time we were judged
By the colour of our skins (Skin)
Now we are judged by the colour of our flags (Colour of our flags)
Let us unite against being divided
You belong to the one
Political party (Political party)
I belong to the one
Musical party (Musical party)
Let us take control of the situation
Otherwise we'll be trapped in
These guns and the roses (Situation)

That we've got to live with (Every time)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (We gotta live with)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (Every time)
We'll be trapped in these
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (Every day)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (We got to live with every day)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (We got to every day)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (Oh every day)
 
Back
Top Bottom