Kama nchi tunatakiwa kutumia busara kuondoa mikwamo hii mapema kabla ya uchaguzi

Joshua Mbezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
1,994
Reaction score
4,446
#HABARI: Gari aina ya Nissan Ex-trail lenye namba za usajili T 566 CXL mali ya Bw. Philimon Mng'ong'o, Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mbeya mjini Mkoa wa Mbeya limechomwa moto majira ya saa kumi usiku wa kuamkia leo Aprili 22, 2025 na watu wasiojulikana.

Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya ya Mbeya mjini Bw. Mng'ong'o amesema majira ya saa kumi usiku, mke wake aliamka kwa ajili ya kufanya ibada ya maombi ndipo alipoona moto na kuamsha familia nzima na walipotoka nje, walikuta ndoo ikiwa na mafuta ya petroli huku gari likiendelea kuteketea kwa moto.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radiooneta
1745312573806.jpg
 
#Follow @radioonetaView attachment 3311906
Ni kisasi?
Ajifanyie tathmini ya kina ili ajue chanzo halisi cha mkasa huo.
 
Back
Top Bottom