Kama Nchi tusilale hasa vyombo vyetu vya huyo dogo anajitanua kwa kasi ya ajabu

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Andiko hili na walione wahusika.

Pamoja na siasa zetu za kunyukana mara Sukuma gang,Msoga na wana kuupiga mwingi lakini kama Nchi tutambue tunalo tishio lililo bayana kabisa la yule 'dogo' naamini wengi mmenielewa hakika anakuja juu sana kimedani.

Si wa kupuuzwa tena!

Amewekeza sana kwenye u-sasa na kila kitu chake sasa ni cha kisasa.

Shime linapokuja suala lihusulo uzalendo tujadili kizalendo.
 
Dogo gani? anajitanua toka nje au ndani?

Hofu nyingine za kujitakia tu, anyway usikute "dogo" mwenyewe ameshaingia chumbani ndio mnashtuka.
 
Andiko hili na walione wahusika.

Pamoja na siasa zetu za kunyukana mara Sukuma gang,Msoga na wana kuupiga mwingi lakini kama Nchi tutambue tunalo tishio lililo bayana kabisa la yule 'dogo' naamini wengi mmenielewa hakika anakuja juu sana kimedani.

Si wa kupuuzwa tena!

Amewekeza sana kwenye u-sasa na kila kitu chake sasa ni cha kisasa.

Shime linapokuja suala lihusulo uzalendo tujadili kizalendo.
We nae unashindwa kumtaja ndo maana uz reply Chache
 
Kwa maoni yangu huyo dogo kafanikiwa. Hata kama mission yake haijawa accomplished kitendo cha kua na hofu tu kama yupo chumbani au ameshatuweka kwenye kiganja ni ushindi na mafanikio kwake na kwetu ni failure!
 
Andiko hili na walione wahusika.

Pamoja na siasa zetu za kunyukana mara Sukuma gang,Msoga na wana kuupiga mwingi lakini kama Nchi tutambue tunalo tishio lililo bayana kabisa la yule 'dogo' naamini wengi mmenielewa hakika anakuja juu sana kimedani.

Si wa kupuuzwa tena!

Amewekeza sana kwenye u-sasa na kila kitu chake sasa ni cha kisasa.

Shime linapokuja suala lihusulo uzalendo tujadili kizalendo.
Dogo ana laana ya Maalim seif, hawezi lolote
 
Andiko hili na walione wahusika.

Pamoja na siasa zetu za kunyukana mara Sukuma gang,Msoga na wana kuupiga mwingi lakini kama Nchi tutambue tunalo tishio lililo bayana kabisa la yule 'dogo' naamini wengi mmenielewa hakika anakuja juu sana kimedani.

Si wa kupuuzwa tena!

Amewekeza sana kwenye u-sasa na kila kitu chake sasa ni cha kisasa.

Shime linapokuja suala lihusulo uzalendo tujadili kizalendo.
Paul Makonda?
 
Dogo anatafunwa na kansa, hofu hana amani ya moyo kwa kuukimbiza upepo kupambana na watu.Pia ashafika Saa kumi jioni.
 
Back
Top Bottom