Kama Nchi tusilale hasa vyombo vyetu vya huyo dogo anajitanua kwa kasi ya ajabu

Vita ya jirani sio ya hardware tena. Hii milumbano yetu ya kiumbeya umbeya hadi ya wakuu wa mihimili tayari ni failure kwetu na ndio njia kupotezwa focus.
Kwanini marais wetu wanapenda kujibu wakikosolewa? Kwanini wasisonge mbele na maamuzi yao badala ya kujibizana na watu ambao kimsingi hawawezi kumzuia kufanya lolote.

Kuanzia sasa, waache tabia ya kuwajibu wanaowakosoa. Rais ni mtu mkubwa sana. Awaache watu wapige kelele zao bila kuwajibu.
Kuwe na kiwango cha criticism ambayo Rais anaweza kuitolea ufafanuzi.
Marais wetu hawajiamini kabisa wakati katiba inawalinda to its best.
 
Usisahau Rais ni mwanamke.
 
TZ tuko vizuri uliona lile jiko la misosi linalo tumia mafuta ya taa/gesi katika maonyesho ya zana za kivita siku ya kumbukumbu ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika? Huwezi lipata nchi nyingine duniani.
 
Aliye kuwa ana jibu jibu hivyo ni JPM mama naona ana ukimya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…