Kama nchi we should be ashamed of ourselves kwa hili la uwanja

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Bilioni 30 zingeweza kutengeneza drainage systems za uhakika za kuzuia mvua kubwa zikinyesha ..teknolojia ambazo wangeenda hata kuchukua ujuzi hapo Zanzibar tu kua wamefanyaje wao kiwanja chao hata mvua Gani inyeshe panakua Pako kama hapajanyesha, hata tumeshindwa kuwatumia mainjinia wetu wazalendo wangetengeneza lile paa liwe linajifunga kule juu kipindi Cha mvua kubwa. Mbona haya mambo Karne hii yanawezekana

Haya yote tumeyataka wenyewe. Nashangaa watu wengi ni kuongelea tu post za CAF post za magori bila kuzungumza ukweli kua kutowajibika kwa serikali ndio chanzo Cha haya yote. Nafasi tulikua nayo muda mrefu sana wa kuweka uwanja unavyotakiwa kua kwa standard za kimataifa..uwanja wenyewe unashushwa Hadhi kwa kupelekwa kila jambo kufanyika pale.

NB: Simba Wana professional players ambao wanaweza kucheza under pressure yoyote, hawawezi kutoka mchezoni kwa upuuzi huu unaoendelea, ila kama watu wanaowajibika wangewajibika ipasavyo kwa nafasi zao na fedha zilizotolewa zaidi ya bilioni 30 zingetumika ipasavyo kwa weleedi basi mechi hii isingekua na mashaka ya kuchezwa uwanja wa B.W.Mkapa sababu pale inawapa nafasi mashabiki wengi zaidi kushuhudia tukio la kihistoria ...Sasa fainali inapelekwa sehem mashabiki ni elfu 12 tu. Unawanyima mashabiki zaidi ya elfu 50 nafasi ya kushuhudia tukio Hilo kubwa la kihistoria katika mpira wa miguu nchini. Kalagabaho.
 
Bilioni 30 zingeweza kutengeneza drainage systems za uhakika za kuzuia mvua kubwa zikinyesha ..teknolojia ambazo wangeenda hata kuchukua ujuzi hapo Zanzibar tu kua wamefanyaje wao kiwanja chai hata mvua Gani inyeshe panakua Pako kama hapajanyesha, hata tumeshinda kuwatumia mainjinia wetu wangetengeneza lile paa liwe linajifunga kule juu kipindi Cha mvua kubwa

Haya yote tumeyataka wenyewe. Nashangaa watu wengi ni kuongelea tu post za CAF post za magori bila kuzungumza ukweli kua kutowajibika kwa serikali ndio chanzo Cha haya yote. Nafasi tulikua nayo muda mrefu sana wa kuweka uwanja unavyotakiwa kua kwa standard za kimataifa..uwanja wenyewe unashushwa Hadhi kwa kupelekwa kila jambo kufanyika pale.

NB: Simba Wana professional players ambao wanaweza kucheza under pressure yoyote, hawawezi kutoka mchezoni kwa upuuzi huu unaoendelea, ila kama watu wanaowajibika wangewajibika ipasavyo kwa nafasi zao na fedha zilizotolewa zaidi ya bilioni 30 zingetumika ipasavyo kwa weleedi basi mechi hii isingekua na mashaka ya kuchezwa uwanja wa B.W.Mkapa sababu pale inawapa nafasi mashabiki wengi zaidi kushuhudia tukio la kihistoria ...Sasa fainali inapelekwa sehem mashabiki ni elfu 12 tu. Unawanyima mashabiki zaidi ya elfu 50 nafasi ya kushuhudia tukio Hilo kubwa la kihistoria katika mpira wa miguu nchini. Kalagabaho.
Ahusika hawako serious with this, hell huwa hawako serious most of time
 
Watanganyika wanachojua wao ni simba na Yanga.

Haijulikani ni lini wataamka kwenye hilo wimbi zito la Usingizi.

KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU.
 
"Kama nchi we should be ashamed"

Please kuna vitu vingi sana vya aibu nchi hii hili la uwanja dogo.
 
Back
Top Bottom