kama nchi yetu niya amani kwanini Rais anawalinzi wawili?

kama nchi yetu niya amani kwanini Rais anawalinzi wawili?

Butundwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
303
Reaction score
52
Nimekua nikishangazwa mara nyingi rais wetu anapokuwa akihutubia mikutano ,semina,warsha nk huwa anakuwa na walinzi wawili hii nikwanini?wakati tunaamini nchi yetu ni ya amani ,,
 
Bila shaka assessment itakuwa imefanyika na kukuona umuhimu wa kuongeza ulinzi. Sisi huku tutajiuliza na tunaweza kusema mengi ila wao wanajua wanachofanya coz sidhani kama wanaweza kuamka tu wakasema tuongeze ulinzi Butundwe
 
Last edited by a moderator:
Wanapata nafasi ya kazi mkuu. Si unajua tena, mmoja tu, je akiugua
 
Na ni kweli nchi ya Amani ndio maana hatukutegemea mlipuko wa bomu kwenye mkutano wa kisiasa kule Arusha!
 
Usikremu mkuu!
Wapemba wanasema "yasini yasaidia ila na mbio uwenazo"
...
Hata kama Tz ni nchi ya amani, raisi kuwa mwenyewe kama paka alieasi hilo haliwezekani, ukizingatia huwezi kupendwa na wote!
Cc: chadema.
 
Lakini kwa mfano Obama anawalizi lkn awamzongi sana km wakwetu alafu mtu .mdawote kasimama nyuma yake mm naona km hii imepitwa na wkti
 
Kwako ugonjwa ni dhihaka.....?hujielewi.

Nimetoka sababu ni kwa nini kuna watu nyuma yake kwa ajiri ya kumsaidia pindi atakapotaka kudondoka... Mimi naona ni vizuri wawepo, otherwise itakuwa ni fedheha kwa rais kudondoka bila kuwepo na usaidizai..
 
Lakini kwa mfano Obama anawalizi lkn awamzongi sana km wakwetu alafu mtu .mdawote kasimama nyuma yake mm naona km hii imepitwa na wkti

uyo mtu aliye nyuma yake mwenye sare ya jeshi ni mpambe yaani anasaidia kubeba makabrasha the rest ndo walinzi
 
Obama na tanzania ni tofauti wenzetu wameendelea.sasa kama imepitwa na wakati kamuulize mzee wetu mwinyi ndio utajua umuhimu wa wale walinzi wa wili
 
Obama na tanzania ni tofauti wenzetu wameendelea.sasa kama imepitwa na wakati kamuulize mzee wetu mwinyi ndio utajua umuhimu wa wale walinzi wa wili
Nilisikitika sana yaliyomfika mzee mwinyi..
 
Kuna amani ndiyo, lakini usalama hakuna. Nchi nyingi sana zina amani (Marekani ni mojawapo) lakini usalama ni mdogo sana.

Walinzi wa Rais ni wanausalama. Wanahitajika sana Bongo.
 
Nendeni kwa Museven muone escort hadi ya kifaru hata enzi za Nyerere walinzi ni lazima
 
Back
Top Bottom