Rock City
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,266
- 504
Rais wa JMT anaowalinzi wengi sana (Wanaoonekana dhahiri na wasioonekana).
Popote Rais wa JMT atarajiapo kwenda kuwa kuna TISS waliomitamboni ku-monitor eneo zima hilo na kwa umbali wa kilomita kadhaa toka eneo husika, nao huwasiliana moja kwa moja na kikosi cha Ulinzi wa Rais kilichopo eneo hilo.
Kwa viongozi wote wa Afrika, huwa ni lazima kuwa na askari kuwa nyuma ya Rais, na hii ni kutokana na udhaifu kiteknolojia tuliyonayo barani Afrika.
Kwa USA, YUROPA na UCHINA hali ni tofauti. Hutoona walinzi au askari kumzonga Rais au Premier hadharani.
Pale Uganda, misafara ya Museveni ni utadhani wakielekea vitani kwa silaha, inaogofya uwapo Kampala na ukashuhudia msafara wake iwapo ni mgeni.
Juu ya yote, hata kama nchi inausalama kupitiliza...lazima Rais wa JMT.