Wako standby kumsaidia pindi atakapoonyesha dalili za kutaka kudondoka, si unajua jamaa ana ugonjwa wa kifafa!!!

Kwako ugonjwa ni dhihaka.....?hujielewi.
Lakini kwa mfano Obama anawalizi lkn awamzongi sana km wakwetu alafu mtu .mdawote kasimama nyuma yake mm naona km hii imepitwa na wkti
Nilisikitika sana yaliyomfika mzee mwinyi..Obama na tanzania ni tofauti wenzetu wameendelea.sasa kama imepitwa na wakati kamuulize mzee wetu mwinyi ndio utajua umuhimu wa wale walinzi wa wili
Wanapata nafasi ya kazi mkuu. Si unajua tena, mmoja tu, je akiugua