Second hand
Member
- Jan 20, 2013
- 72
- 6
Msaada wa mawazo wajameni nimechaguliwa UDSM kozi ya Bachelor of education in eary childhood education! Ofcourse ni nzuri na nimepata mkopo BUT nilitaka niisome ili miaka ya baadaye[degree ya pili] nije nisome kozi nyingine ambayo ''AM real interested to be" BUT nimeambiwa ati siwezi kubadilisha kwa hiyo miye ni mwl wa watoto mpaka milele milele.....mwenye uelewa wowote juu ya ili anijuze
dah hautaki kuwa mwalimu milele? Kwani we ulikuwa unataka ukasomee nini huko mbeleniMsaada wa mawazo wajameni nimechaguliwa UDSM kozi ya Bachelor of education in eary childhood education! Ofcourse ni nzuri na nimepata mkopo BUT nilitaka niisome ili miaka ya baadaye[degree ya pili] nije nisome kozi nyingine ambayo ''AM real interested to be" BUT nimeambiwa ati siwezi kubadilisha kwa hiyo miye ni mwl wa watoto mpaka milele milele.....mwenye uelewa wowote juu ya ili anijuze
sina uhakika sana juu ya hiki ninachoandika ila kwa uelewa wangu ni kwamba masters lazima itokane na masomo uliyosona kwenye first degree sasa angalia kwenye hiyo kozi yako je kuna somo lolote litakalokuwezesha wewe kusoma hayo mambo ya journalism?Ningependa baadaye nisome journalism!
Msaada wa mawazo wajameni nimechaguliwa UDSM kozi ya Bachelor of education in eary childhood education! Ofcourse ni nzuri na nimepata mkopo BUT nilitaka niisome ili miaka ya baadaye[degree ya pili] nije nisome kozi nyingine ambayo ''AM real interested to be" BUT nimeambiwa ati siwezi kubadilisha kwa hiyo miye ni mwl wa watoto mpaka milele milele.....mwenye uelewa wowote juu ya ili anijuze
Acha ubwege kijana,kozi uliyosomea haina uhusiano wa moja kwa moja na maisha yako ya badae,hata hivyo kuwa mwalimu haimanishi ndo utakuwa maskini maisha yako yote,wala kutokuwa mwalimu haimaanishi ndo umeukata!!Kitu cha msingi maishani ni kuwa smart upstairs lazima utoke tu.Na usmart hapa simaanishi kufaulu masomo tu ila ni pamoja na kufanya mambo yatokee.Kapige shule tuMsaada wa mawazo wajameni nimechaguliwa UDSM kozi ya Bachelor of education in eary childhood education! Ofcourse ni nzuri na nimepata mkopo BUT nilitaka niisome ili miaka ya baadaye[degree ya pili] nije nisome kozi nyingine ambayo ''AM real interested to be" BUT nimeambiwa ati siwezi kubadilisha kwa hiyo miye ni mwl wa watoto mpaka milele milele.....mwenye uelewa wowote juu ya ili anijuze