Kama ndio hivi bora niache chuo nirudi nyumbani! nirudie mwaka

Second hand

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
72
Reaction score
6
Msaada wa mawazo wajameni nimechaguliwa UDSM kozi ya Bachelor of education in eary childhood education! Ofcourse ni nzuri na nimepata mkopo BUT nilitaka niisome ili miaka ya baadaye[degree ya pili] nije nisome kozi nyingine ambayo ''AM real interested to be" BUT nimeambiwa ati siwezi kubadilisha kwa hiyo miye ni mwl wa watoto mpaka milele milele.....mwenye uelewa wowote juu ya ili anijuze
 
Sidhani kama ni kweli.....nachojua ni kwamba hata ukisoma education....unaeza soma masters ya kitu kingine so long as una qualifications za kujiunga na hiyo kozi....personally nilisoma nursing diploma, nikasoma social work first degree na sasa napiga masters ya public health....usikate tamaa.
 
Msaada wa mawazo wajameni nimechaguliwa UDSM kozi ya Bachelor of education in eary childhood education! Ofcourse ni nzuri na nimepata mkopo BUT nilitaka niisome ili miaka ya baadaye[degree ya pili] nije nisome kozi nyingine ambayo ''AM real interested to be" BUT nimeambiwa ati siwezi kubadilisha kwa hiyo miye ni mwl wa watoto mpaka milele milele.....mwenye uelewa wowote juu ya ili anijuze
dah hautaki kuwa mwalimu milele? Kwani we ulikuwa unataka ukasomee nini huko mbeleni
 
Ningependa baadaye nisome journalism!
sina uhakika sana juu ya hiki ninachoandika ila kwa uelewa wangu ni kwamba masters lazima itokane na masomo uliyosona kwenye first degree sasa angalia kwenye hiyo kozi yako je kuna somo lolote litakalokuwezesha wewe kusoma hayo mambo ya journalism?
 
Majibu ya maswali mengine yatapatikana kadri utakavyokua unaendelea kusoma...,nadhani kwa sasa ungetilia mkazo hiko ulichochagua kusoma maana ilikua ni moja ya kozi uliyoomba TCU
 
it is true! koz za educatn zenye mziz wa eductn hzo masters lazma ihusiane na education si lazma chldhood educatn inaweza ku wa planning or management in educatn arena,na maanisha B.Ed in (eg.childhood/arts/management etc) (BED SCIENCE/ARTS) differ from B.Arts with Educatn (BA EDUCATION/BSC EDUCATION) bt kumbuka maskin hana uchaguz najua ulchagua coz of loans ila komaa nayo itakusaidia kutmiza ndoto zako kama kipaj kpo waweza kusomea japo diploma ya journalsm ihusuyo watoto,komaa elmu ya tz ukpata nafas tembea
 
Msaada wa mawazo wajameni nimechaguliwa UDSM kozi ya Bachelor of education in eary childhood education! Ofcourse ni nzuri na nimepata mkopo BUT nilitaka niisome ili miaka ya baadaye[degree ya pili] nije nisome kozi nyingine ambayo ''AM real interested to be" BUT nimeambiwa ati siwezi kubadilisha kwa hiyo miye ni mwl wa watoto mpaka milele milele.....mwenye uelewa wowote juu ya ili anijuze

Acha akili za hivyo, yani hiyo ni nzuri sana. Ikiwa uko dar ama town yeyote huko tz unaweza anzisha "chils care" ukapata hela nzuri tu kwani si lazima uwe mwalimu. Itakuhitaji mtaji kidogo lakn as long uko professional ukiamua uwe mjasiliamali am sure utatoka tu.
 
Ndio maana watoto wetu wanazidi kufeli, siku hizi wengi wanaenda ualimu baada ya mbinu zote kushindikana.
 
nijuavyo mimi ukiandikiwa "EDUCATION WITH" hapo unaweza kubadili course baadae ila ukiandikiwa "EDUCATION IN" hapo huwezi kubadili course yaani ni mwalimu maisha yako yote!!!
 
"if you are not doing thing that you love then your life is not worth. What are you here for? " : am going to look alternatives
 
Msaada wa mawazo wajameni nimechaguliwa UDSM kozi ya Bachelor of education in eary childhood education! Ofcourse ni nzuri na nimepata mkopo BUT nilitaka niisome ili miaka ya baadaye[degree ya pili] nije nisome kozi nyingine ambayo ''AM real interested to be" BUT nimeambiwa ati siwezi kubadilisha kwa hiyo miye ni mwl wa watoto mpaka milele milele.....mwenye uelewa wowote juu ya ili anijuze
Acha ubwege kijana,kozi uliyosomea haina uhusiano wa moja kwa moja na maisha yako ya badae,hata hivyo kuwa mwalimu haimanishi ndo utakuwa maskini maisha yako yote,wala kutokuwa mwalimu haimaanishi ndo umeukata!!Kitu cha msingi maishani ni kuwa smart upstairs lazima utoke tu.Na usmart hapa simaanishi kufaulu masomo tu ila ni pamoja na kufanya mambo yatokee.Kapige shule tu
 
Ndg hapo juu! Sijaongelea suala la kipato cha mwl but uwezekano wa kubadilisha career hapo baadaye
 
Back
Top Bottom