I once said:
There is no love, only the proof of it!!
Now, if you ask me of the relation hapa, ni unyonyaji wa hali ya juu!!!!! And for what? Mkate? au Status mtaani?
Uneza kumpa care zooooote mkeo au demu wako lakini unaposhindwa kumpa mkate wakati anautaka we ukampa muhogo hali hii itaendelea kufifiza hilo penzi na kufiligiswa has mtoa mkate anapopatikana. Lakini sio mbaya hii yote ni kwa kuwa kuna mianya ya rushwa lukuki kiasi mtu anajua nikitoa milioni kadhaa ambazo sijazitolea jasho ninapata zingine gafla bin vuuu, mwisho wa siku akina sie maskini wa kutupwa tunazidi kuwa wa kutupwa kweli kweli kulingana na sera duni na baguzi humu nchini!!!!!!!!!!!!