Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema Wazee kazi ndogo malipo makubwa,wakati vijana kazi kubwa malipo madogo,naamini nimesomeka!
I miss you
Asante, nitarudi rasmi
Majukumu yameongezeka
Kwani bado mtoto ananyonya?
Vuta bhange, inasaidia kupunguza majukumu ya kichwani
anayenyonya sasa ni mateka
sasa imagine natakiwa kula kiasi gani ili maziwa yatoshe.
Thank you......Kwenye bold nyeusi tupo pamoja sana.
Kwenye bold red hao wengine tuwaache miaka 2000, watajiju.
Dawa yake ndogo, kunywa biya, afu sukutua glass sita za wine kila jioni. Hapo maziwa debe!
Ndo maana namuona mashavu yanatuna kila siku baby wako! Unajua kutunza!
mwanaume ni yule anaejali sio anaehonga.....kuhonga ni dalili ya kutokuwa na uhakika na mapenzi so si lazima uhongeAbeg to differ ooo.
Mwanaume lazima awe na pesa na ahonge. Vijana hongeni wake zenu mtaenjoy duniani.
You live only once boys, make it right.

Vijana hongeni wake zenu mtaenjoy duniani.
Kwani bado mtoto ananyonya?
Vuta bhange, inasaidia kupunguza majukumu ya kichwani