Kama ndo hivi walimu wote peponi

Kama ndo hivi walimu wote peponi

The Professor

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
2,221
Reaction score
4,564
Class 1

Ticha: Zumbukuku nikikupa mandazi sita kisha nikachukua mandazi yote sita utabaki na nini?

Zumbukuku: nitabaki na harufu na mafuta ya mandazi mkononi.

Class 2

Ticha: kama MTU tajiri anaitwa rich man je MTU maskini ataitwaje

Chilinyinda: rich mavokoooo.
 
Hatari saana aisee

kama mbeya ingekuwa nchi inayojitegemea (sovereign state), wananchi wake wangekuwa wambeya ☺
 
Back
Top Bottom