The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,221
- 4,564
Class 1
Ticha: Zumbukuku nikikupa mandazi sita kisha nikachukua mandazi yote sita utabaki na nini?
Zumbukuku: nitabaki na harufu na mafuta ya mandazi mkononi.
Class 2
Ticha: kama MTU tajiri anaitwa rich man je MTU maskini ataitwaje
Chilinyinda: rich mavokoooo.