libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Sawa aende akacheze wanakolipwaMpira ni ajira na siyo kufanya hisani,utachezaje wakati familia inalala njaa....
Aangalie future yake,pale jangwani njaa na longolongo mob
Sent using Jamii Forums mobile app