Kama ndo unakufa leo ushauri gani ingempa kijana anaemaliza kidato cha nne mwaka 2018

Kama ndo unakufa leo ushauri gani ingempa kijana anaemaliza kidato cha nne mwaka 2018

MKUU UMEONGEA LA MAANA ASEEEEEEEEEEE NA INA BIDI KULIELEZA RIKA LA WATOTO WANAOINGIA RIKA LA UJANA KUWA MAISHA SIO WANAVYOYAFIKIRIA MAANA UKIENDEKEZA NDOTO ZA KUOTA NA FIKRA HASI ,, WATAAMBULIA PATUPU NA MAJUTO MAISHANI MWAO..









DAH HILI NI BONGE LA USHAURI MKUU .
 
The world is fucked up sure..
Mwambie ajifunze kuishi bila hisia... the world is fucked up haihitaji watu wa hisia hisia sijui moyo umefanyaje.. aishi kwa akili zaidi lasivo atapata tabu sana
 
Back
Top Bottom