Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
WATANZANIA MTANIKUMBUKA,TENA KWA MAZURI NA SIO MABAYA.Ona kenge hii, bandari zangu zinakuhusu? Ziwe salama au zisiwe salama ni zakwangu.
Majizi yaliyojazana NEC yanafanya maamuzi dhidi ya umma wa milion 61+Kuna taarifa kwenye magazeti kwamba katika kikao cha dharura cha NEC hoja kuu ni mkataba wa bandari. Lakini nijuavyo mimi hii siyo dharura wala hoja yakujadili kwa masaa kadhaa ikafungwa au kutolewa maamuzi bali ni hoja inayohitaji muda wa kutosha.
Nini kimepelekea iwekwe kwenye kikao cha dharura? Je katika kikao hicho aliyeipeleka kwa Dhararu amelenga mema au mabaya? Kwa udharura huu tunaamini bandari itakuwa salama chini ya TPA au imekabidhiwa DP world na NEC?
NEC si ndiyo inapitisha majina ya wagombeaNEC gani hiyo yenye nguvu ya kuamulia watanzania?. NEC inaishia CCM tu. Sema inapata nguvu kwasababu bunge ni dhaifu na Baraza la mawaziri limejaa machawa.
Hamas hawatakagi ujinga
Duh 🙄 !!Ile NEC iliyojaza mafisadi ndiyo ituamulie hatima ya rasilimali zetu? Ngoja tusubiri taarifa ya kilichojadiriwa kwenye hicho kikao cha majizi.
Maku ya maza wako kwa huu utumbo ulioandikaOna kenge hii, bandari zangu zinakuhusu? Ziwe salama au zisiwe salama ni zakwangu. Nilitaka kukupa cheo cha kuli mwandamizi ila kwakuwa una kiherehere nimetengua uteuzi.
Namba 6 umezinguaPana siku uko vizuri sana mkuu.
Tutambuane: Wenye ujasiri au sababu za kuikabili CCM
Ninakazia:
Hii ni orodha fupi ya wenye ujasili wa kumkabili CCM. Kama hauko humo kuwa tayari kujiunga na CCM. Hao ni wenzako hujijui tu:
1. Wanaompinga Israel na udhwalimu wake Gaza.
2. Wanaowaunga mkono wapalestina dhidi ya uvamizi wa Israel.
3. Wanaotambua kuwa vita vya wapalestina ni vya ukombozi.
4. Wanaotambua kuwa vita vya Israel ni vya uvamizi.
5. Wanaotambua vita vya Urusi huko Ukraine ni uvamizi.
6. Wanaotambua vita vya Ukraine dhidi ya Urusi huko Ukraine ni vya ukombozi.
Pia kama uko humo na uko CCM ondoka tu huko, hakukufai.
Herding behavior is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering of their bosses, manipulation or working in favor of group objectives, (conflict of interest) without the consideration of the next generation. defined by, Ipyana Benny HarabaMajizi yaliyojazana NEC yanafanya maamuzi dhidi ya umma wa milion 61+
Hatuna Baraza la Mawaziri lenye nguvu
Hatuna Bunge thabiti linalojitambua
Hatuna Mahakama inayosimamia hekalu la.haki
Hatuna mfumo imara wenye kusimamia maslahi mapana ya Taifa
Tuna kikundi cha watu kinachoimega keki ya taifa watakavyo
Kazingua namba 5 na 6.Namba 6 umezingua
Namba 6 umezingua
Kazingua namba 5 na 6.
Hama nchiWATANZANIA hatuitaki DP world periodt