OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hata baada ya kufungwa 6-2 pale Chamazi ambako zilichezwa mechi zote 2, lakini Namungo kwenye Group stage HAWAKUWEZA kufunga hata bao 1, kitu kilichoonyesha bila zengwe la UVIKO 19 pengine wasingekuwepo kwenye makundi.
SIMBA SC ipewe heshima yake, timu zetu zoote zinaweka malengo ya kucheza Makundi, Simba SC peke yao ambao malengo yao ni NUSU FAINALI.
Ukiona wanavyocheza wanakuonyesha hawapangi malengo kwa bahati mbaya. Yes, wana mapungufu kulinganisha na WAKUBWA wenzao wa Africa, lakini nyie wengine HAMJIWEZI kwenye hizi anga zao tuweni wakweli tu.
My Take
Unawezaje kutilia mashaka kiwango cha bingwa na Angalo? Tena bingwa mbele ya Petro Atletico?
Labda nikusaidie kujua viashiria vya timu kubwa. Huwa ni ushindi wa kushtua nje ndani. Tazama matokeo ya timu kubwa zote. Ni Al Hilal tu ndio waliwakosa kosa.
Lakini kama ni walifungwa goli 6 na Namungo,mbona hata nyinyi mlifungwa 6 na Simba,kisha mkapigwa 5 na kisha 4. Kuna tatizo?
Lakini mara hii mmesahau kama Al Hilal walikuwa nne kwa Simba? Timu ambayo imewatoa kamasi.
Sisikii tena Simba Sc kupulizia sumu vyumbani wala COVID. Kuweni na adabu kubwa mnapoongelea Simba.