Kama ni kweli filamu zinalipa, kwanini Diamond asitengeneze movie?

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Yaani kiujumla Hutu jamaa sidhani kama hawezi kuigiza,

Namshauri atengeneze movie Kali ambayo itakuwa kwenye viwango vya kimataifa.

Naamini kila MTU kwa hapa bongo ataitazama ukiachana na kimataifa, japo Mimi sio mtaalam wa hii biashara ila itakuwa poaa akifanya hivyo kama wafanyavyo wasanii wengi hasa Marekani.
 
Filamu inataka bajeti kubwa sana.

Kutengeneza movie standard unahitaji uwekeze zaidi ya bilioni kazaa. Ukiwekeza hizo bilioni na filamu ikabuma sokoni unakula hasara kubwa sana.

Kutengeneza mziki bajeti ni ndogo sana na faida yake ni kubwa.

Diamond anawekeza kwenye muziki maana Hata wimbo ukibuma hapati hasara
 
Nakubaliana na wewe kuwa, hasara za movie ni kubwa sana ila kwa nchi zilizoendelea mara nyingi fedha huwa hazitoki mifukoni kwa mtu badala yake huwa zinatoka kwa wadhamini kwa mikataba maalumu baada ya kujiridhisha na mswada wa filamu yenyewe.

Kama budget ya kutosha ipo, hasara ya movie mara nyingi huwa inatokana na story mbovu pamoja na uchaguzi mbaya wa waigizaji.

Ukiwa na story kali, waigizaji wazuri, budget kubwa movie haiwezi kukutia hasara.
 
Yaani kiujumla Hutu jamaa sidhani kama hawezi kuigiza,

Namshauri atengeneze movie Kali ambayo itakuwa kwenye viwango vya kimataifa.

Naamini kila MTU kwa hapa bongo ataitazama ukiachana na kimataifa, japo Mimi sio mtaalam wa hii biashara ila itakuwa poaa akifanya hivyo kama wafanyavyo wasanii wengi hasa Marekani.
video zake zinadhihirishia jamaa anajua kazi ni basi tu.

kama video ya zuwena.
 
Video kama ya wimbo kama Zuwena ni dakika 3 tu.

Na hapo unakuta imegharimu milioni 5 mpaka 10 sababu kamtumia director m Tanzania ambae ni cheap labour, na character wa TZ tupu cheap labour

Jiulize movie ya dakika 90 yenye quality kama ya zuwena itagharimu shilingi ngapi ?
 
Wenzet movie ni budget ya kushiba
Video kama ya wimbo kama Zuwena ni dakika 3 tu.

Na hapo unakuta imegharimu milioni 5 mpaka 10 sababu kamtumia director m Tanzania ambae ni cheap labour, na character wa TZ tupu cheap labour

Jiulize movie ya dakika 90 yenye quality kama ya zuwena itagharimu shilingi ngapi ?
 
Kinachomdondosha lugha tu saiv angekua keshadaka madili ya kuigiza nchi mbali mbali
 
Wazo zuri mtoa mada lakini filamu sio kwa bongo hii.

Tanzania hakuna mfumo mzuri wa kusimamia kazi za wasanii ndio maana tuna wasanii maarufu na wenye vipaji lakini si matajiri.

Fikiria akina ray kigosi pamoja na kuigiza kwa karibu muongo mzima ana nini cha maana?
 
Nakubaliana na wewe kuwa, hasara za movie ni kubwa sana ila kwa nchi zilizoendelea mara nyingi fedha huwa hazitoki mifukoni kwa mtu badala yake huwa zinatoka kwa wadhamini kwa mikataba maalumu baada ya kujiridhisha na mswada wa filamu yenyewe.

Kama budget ya kutosha ipo, hasara ya movie mara nyingi huwa inatokana na story mbovu pamoja na uchaguzi mbaya wa waigizaji.

Ukiwa na story kali, waigizaji wazuri, budget kubwa movie haiwezi kukutia hasara.

kwa hapa bongo hata ufanye nini utakula hasara tu. Serikali imepuuzia sanaa, piracy rate ni kubwa,tumebarikiwa wasanii talented lakini masikini.
 
Video kama ya wimbo kama Zuwena ni dakika 3 tu.

Na hapo unakuta imegharimu milioni 5 mpaka 10 sababu kamtumia director m Tanzania ambae ni cheap labour, na character wa TZ tupu cheap labour

Jiulize movie ya dakika 90 yenye quality kama ya zuwena itagharimu shilingi ngapi ?
Hapa ni kwa hesabu ya haraka tu, unachukua 3x5, 000,000 = 15,000,000x90 = 1,350,000,000/-tshs.

Yaani ni hesabu ya haraka tu na hapo ukute ni maandalizi ya kuwalipia usafiri wahigizaji ili waje muingie mkataba!.
 
ninachoamini mimi shida sio budget shida ni mfumo mzima wa kusambaza hizo kazi. Kwa bongo ni mbovu. Hata uweke budget ya bilion 1 haiwezi kurudi. Fikiria taifa letu lina watu 60m ,tuseme watu 10m wakanunua hiyo kazi kwa 3k unaweza pata bilion 30. Sasa hapo huwezi weka bajeti ya bilioni 2?
shida ipo kwenye mfumo wa usambazaji wa kupata angalau hiyo small population ya 10m.
 
Yaani kiujumla Hutu jamaa sidhani kama hawezi kuigiza,

Namshauri atengeneze movie Kali ambayo itakuwa kwenye viwango vya kimataifa.

Naamini kila MTU kwa hapa bongo ataitazama ukiachana na kimataifa, japo Mimi sio mtaalam wa hii biashara ila itakuwa poaa akifanya hivyo kama wafanyavyo wasanii wengi hasa Marekani.
mama yake hajaamua
 
Hapa ni kwa hesabu ya haraka tu, unachukua 3x5, 000,000 = 15,000,000x90 = 1,350,000,000/-tshs.

Yaani ni hesabu ya haraka tu na hapo ukute ni maandalizi ya kuwalipia usafiri wahigizaji ili waje muingie mkataba!.

mimi nimeshaona baadhi ya filamu kali za bongo movie lakini kuniambia zimetumia bajeti ya bilion kadhaa hapana. Sidhani kama kuna mtu aliyechoma hata 100m kutokana na soko letu kutokueleweka. Kwa bongo sanaa ni biashara kichaa.
 
Tuanze kwanza kwenye music ,Lugha ya davido ilimsaidia kuperfom world cup. Je mtu wako alishaperfom fainali zipi taja hata za kichangani.

Msiwe watu wa kumfananisha davido na domo
Mzee si umesema lugha!!! Na mm nauliza tu mwenye kujua lugha bwana Davie vp!! Mnadhan movie watu wana igizi igiza tuu eeeh
 
Back
Top Bottom