Kama ni kweli filamu zinalipa, kwanini Diamond asitengeneze movie?

Kama ni kweli filamu zinalipa, kwanini Diamond asitengeneze movie?

Tuanze kwanza kwenye music ,Lugha ya davido ilimsaidia kuperfom world cup. Je mtu wako alishaperfom fainali zipi taja hata za kichangani.

Msiwe watu wa kumfananisha davido na domo
Ndo movie hyo ku perform fainali.. ?! Mondi alipiga chini deal ya ku perform kwenye hizo world cup kwa malipo hafifu.. angetaka ange perform.. kuigiza movie na mambo ya ku perform tofaut. Movie kazi za watu bro!! Lugha sio issue.. NETFLIX kuna film za kisandawe kule watu wanaishi nazo
 
Hapo Legend at Sixty nigerian movie.

Acha hizo fix, hana jeuri ya kupiga chini dili lolote la Fifa,kama ya ccm tu anaenda perform atashindwa kwenda za nje. Hizo story za vijiweni kaeni nazo huko huko

Ndo movie hyo ku perform fainali.. ?! Mondi alipiga chini deal ya ku perform kwenye hizo world cup kwa malipo hafifu...
Uongo, Uongooo, acha bhana huo ni Uongooo [emoji23]

Hana huo Ubavu wa kukataa kuperform World Cup hata ingekua bure angeenda kwa uchanga wake Kimataifa ili aweze kujitangaza.
 
Hapo Legend at Sixty nigerian movie.

Acha hizo fix, hana jeuri ya kupiga chini dili lolote la Fifa,kama ya ccm tu anaenda perform atashindwa kwenda za nje. Hizo story za vijiweni kaeni nazo huko huko
Hahahaha shangaa na wewe yaan matamasha ya CCM aende ila ya FIFA akatae, mashabiki wa Sadala kama Mazombie wakati mwingine [emoji23]
 
Huyo Mondi kuigiza kwenyewe hajui,
Ile reality show yupo na kina Zari alikua anaona aibu kichizi, ashukuru wale jamaa walikua wanambeba beba asiwaangushe, ila hakua comfortable kabisa
 
Bongo bana vituko havishi, unahisi kutengeneza filamu ya kweli ni ishu yakitoto kihhivo mpaka mpuuzi yoyote akurupuke t atengneze? Filamu zinahitaji utalaamu kwa kwa maana taalumu za hali ya juu na sio kukurupuka tu, na Budget zake sio kitu cha masihara kibongobongo.
 
Wazo zuri mtoa mada lakini filamu sio kwa bongo hii.

Tanzania hakuna mfumo mzuri wa kusimamia kazi za wasanii ndio maana tuna wasanii maarufu na wenye vipaji lakini si matajiri.

Fikiria akina ray kigosi pamoja na kuigiza kwa karibu muongo mzima ana nini cha maana?
ana kampuni yake ya filamu pale sinza hivi unafikiri anakosa hela ya kula au kubadili gari
 
mimi nimeshaona baadhi ya filamu kali za bongo movie lakini kuniambia zimetumia bajeti ya bilion kadhaa hapana. Sidhani kama kuna mtu aliyechoma hata 100m kutokana na soko letu kutokueleweka. Kwa bongo sanaa ni biashara kichaa.
unaongea nini wewe kuna filamu bongo zimefadhiliwa na mataasisi ya nje na zimetolewa zaidi ya million 300 na kuna mmoja hata B inafika sema wewe ufatilii maana hizo filamu huwezi zikuta sinema zetu
 
Nakubaliana na wewe kuwa, hasara za movie ni kubwa sana ila kwa nchi zilizoendelea mara nyingi fedha huwa hazitoki mifukoni kwa mtu badala yake huwa zinatoka kwa wadhamini kwa mikataba maalumu baada ya kujiridhisha na mswada wa filamu yenyewe.

Kama budget ya kutosha ipo, hasara ya movie mara nyingi huwa inatokana na story mbovu pamoja na uchaguzi mbaya wa waigizaji.

Ukiwa na story kali, waigizaji wazuri, budget kubwa movie haiwezi kukutia hasara.
vyote uwe navyo ila muhimu zaidi ni director mkali ukikosea hapa ni kazi bure
 
unaongea nini wewe kuna filamu bongo zimefadhiliwa na mataasisi ya nje na zimetolewa zaidi ya million 300 na kuna mmoja hata B inafika sema wewe ufatilii maana hizo filamu huwezi zikuta sinema zetu

nitajie hiyo bongo movie iliyotengenezwa kwa bajeti ya bilioni.
 
Atengeneze ya historia ya muziki wake hadi anafikia level za kumiliki media kubwa, bajeti nitampatia mimi
 
Hapa ni kwa hesabu ya haraka tu, unachukua 3x5, 000,000 = 15,000,000x90 = 1,350,000,000/-tshs.

Yaani ni hesabu ya haraka tu na hapo ukute ni maandalizi ya kuwalipia usafiri wahigizaji ili waje muingie mkataba!.
Tatizo watu wanadhani kutumia hela nyingi ndio kutengeneza movie nzuri. Kutengeneza movie nzuri ni combination ya vitu vingi ukiacha budget. Story, script, direction, cast etc.

Movie ya Blair Witch Project ilitumia budget ya $200k tu lakini ikaingiza $248m.
 
unaongea nini wewe kuna filamu bongo zimefadhiliwa na mataasisi ya nje na zimetolewa zaidi ya million 300 na kuna mmoja hata B inafika sema wewe ufatilii maana hizo filamu huwezi zikuta sinema zetu
Sinema za aina hiyo mara nyingi huwa sio commercial bali hutumika kwa ajili ya campaign fulani au matamasha ya movies na hizo project hutokea mara chache. Kuingiza 300m kwenye commercial flick hapa bongo ni uendawazimu.
 
Yaani kiujumla Hutu jamaa sidhani kama hawezi kuigiza,

Namshauri atengeneze movie Kali ambayo itakuwa kwenye viwango vya kimataifa.

Naamini kila MTU kwa hapa bongo ataitazama ukiachana na kimataifa, japo Mimi sio mtaalam wa hii biashara ila itakuwa poaa akifanya hivyo kama wafanyavyo wasanii wengi hasa Marekani.
kutengeneza muvi sio rahisi tu kama unavyodhani ni kama kila mtu anaweza kunya mwache aimbe bado safari ya muziki bado.ndefu
 
Back
Top Bottom