Nakubaliana na wewe kuwa, hasara za movie ni kubwa sana ila kwa nchi zilizoendelea mara nyingi fedha huwa hazitoki mifukoni kwa mtu badala yake huwa zinatoka kwa wadhamini kwa mikataba maalumu baada ya kujiridhisha na mswada wa filamu yenyewe.Filamu inataka bajeti kubwa sana.
Kutengeneza movie standard unahitaji uwekeze zaidi ya bilioni kazaa. Ukiwekeza hizo bilioni na filamu ikabuma sokoni unakula hasara kubwa sana.
Kutengeneza mziki bajeti ni ndogo sana na faida yake ni kubwa.
Diamond anawekeza kwenye muziki maana Hata wimbo ukibuma hapati hasara
video zake zinadhihirishia jamaa anajua kazi ni basi tu.Yaani kiujumla Hutu jamaa sidhani kama hawezi kuigiza,
Namshauri atengeneze movie Kali ambayo itakuwa kwenye viwango vya kimataifa.
Naamini kila MTU kwa hapa bongo ataitazama ukiachana na kimataifa, japo Mimi sio mtaalam wa hii biashara ila itakuwa poaa akifanya hivyo kama wafanyavyo wasanii wengi hasa Marekani.
video zake zinadhihirishia jamaa anajua kazi ni basi tu.
kama video ya zuwena.
Video kama ya wimbo kama Zuwena ni dakika 3 tu.
Na hapo unakuta imegharimu milioni 5 mpaka 10 sababu kamtumia director m Tanzania ambae ni cheap labour, na character wa TZ tupu cheap labour
Jiulize movie ya dakika 90 yenye quality kama ya zuwena itagharimu shilingi ngapi ?
Nakubaliana na wewe kuwa, hasara za movie ni kubwa sana ila kwa nchi zilizoendelea mara nyingi fedha huwa hazitoki mifukoni kwa mtu badala yake huwa zinatoka kwa wadhamini kwa mikataba maalumu baada ya kujiridhisha na mswada wa filamu yenyewe.
Kama budget ya kutosha ipo, hasara ya movie mara nyingi huwa inatokana na story mbovu pamoja na uchaguzi mbaya wa waigizaji.
Ukiwa na story kali, waigizaji wazuri, budget kubwa movie haiwezi kukutia hasara.
Hapa ni kwa hesabu ya haraka tu, unachukua 3x5, 000,000 = 15,000,000x90 = 1,350,000,000/-tshs.Video kama ya wimbo kama Zuwena ni dakika 3 tu.
Na hapo unakuta imegharimu milioni 5 mpaka 10 sababu kamtumia director m Tanzania ambae ni cheap labour, na character wa TZ tupu cheap labour
Jiulize movie ya dakika 90 yenye quality kama ya zuwena itagharimu shilingi ngapi ?
Video kama ya wimbo kama Zuwena ni dakika 3 tu.
Na hapo unakuta imegharimu milioni 5 mpaka 10 sababu kamtumia director m Tanzania ambae ni cheap labour, na character wa TZ tupu cheap labour
Jiulize movie ya dakika 90 yenye quality kama ya zuwena itagharimu shilingi ngapi ?
mama yake hajaamuaYaani kiujumla Hutu jamaa sidhani kama hawezi kuigiza,
Namshauri atengeneze movie Kali ambayo itakuwa kwenye viwango vya kimataifa.
Naamini kila MTU kwa hapa bongo ataitazama ukiachana na kimataifa, japo Mimi sio mtaalam wa hii biashara ila itakuwa poaa akifanya hivyo kama wafanyavyo wasanii wengi hasa Marekani.
Davido hajadaka madili hayo? Au hajui lugha?Kinachomdondosha lugha tu saiv angekua keshadaka madili ya kuigiza nchi mbali mbali
Davido hajadaka madili hayo? Au hajui lugha?
Mzee si umesema lugha!!! Na mm nauliza tu mwenye kujua lugha bwana Davie vp!! Mnadhan movie watu wana igizi igiza tuu eeehfungua uzi wa davido mkuu,hapa tunamuongelea sadala
Hapa ni kwa hesabu ya haraka tu, unachukua 3x5, 000,000 = 15,000,000x90 = 1,350,000,000/-tshs.
Yaani ni hesabu ya haraka tu na hapo ukute ni maandalizi ya kuwalipia usafiri wahigizaji ili waje muingie mkataba!.
Mzee si umesema lugha!!! Na mm nauliza tu mwenye kujua lugha bwana Davie vp!! Mnadhan movie watu wana igizi igiza tuu eeeh