Kama ni kweli gari la wanawake BAWACHA limepigwa mawe wahusika wakamatwe

Kama ni kweli gari la wanawake BAWACHA limepigwa mawe wahusika wakamatwe

Ndani ya CCM kuna mashetani na maharamia ya ajabu, na hayo ndiyo yanayoambukiza uovu kwa watoto wetu.

CCM.ni alama ya uwepo wa shetani Duniani.

Ni wakati wa wote wenye Roho wa Mungu kujitenga na shetani CCM.
Utakufa na sonona bwanamdogo hao bd wapo mpk wajukuu zako
 
Ndani ya CCM kuna mashetani na maharamia ya ajabu, na hayo ndiyo yanayoambukiza uovu kwa watoto wetu.

CCM.ni alama ya uwepo wa shetani Duniani.

Ni wakati wa wote wenye Roho wa Mungu kujitenga na shetani CCM.
Hii ni kweli kabisa.
 
Wanaccm karibia wote wamekuwa na kinga ya dola pindi wanapowafanyia uhalifu wapinzani hasa cdm. Wakati wa Magufuli ilikuwa kama imehalalishwa waccm kuwafanyia uhalifu cdm, na polisi walikuwa wanaona fahari cdm kufanyiwa ukatili na wanaccm. Ikafikia hadi afisa yoyote wa vyombo vya dola akiwafanyia ukatili cdm kupandishwa cheo, ama kuongeza nafasi yake ya kupandishwa cheo. Hata sasa chini ya Samia bado hali ni hiyohiyo, japo si kwa kiwango cha ilivyokuwa wakati wa Magufuli.

Hayo ya Singida ni muendelezo wa hilo, kuelekea uchaguzi iwapo cdm watashiriki ndio itakuwa mbaya zaidi. Kibaya zaidi hakuna atakayechukuliwa hatua na mamlaka kwa uhalifu huo.
Ccm ni mashetani.
 
Ushamba tu unazani kuzaliwa marekani ni big deal ?
Wewe ndiye mshamba kwani nani amesema kuzaliwa Marekani ni big deal? Mimi nimemjibu huyo aliyesema kuwa Lissu amewanadilisha uraia watoto wake,ukweli ni kuwa hao watoto ambao ni mapacha walizaliwa Marekani wakati Lissu akiwa Marekani,hivyo uraia wao siyo wa kuandikishwa bali ni wa kuzaliwa, unapo argue uwe na data.
 
Una roho mbaya hata maandishi yako tu yanaonyesha hivyo. Pambana na hali yako. Kuna sababu ya kula mmoja wetu kuzaliwa alikozaliwa. Kwahiyo hata kuongelea tu ni aina Fulani ya kwamba umechafukwa.
😂
 
Wewe ndiye mshamba kwani nani amesema kuzaliwa Marekani ni big deal? Mimi nimemjibu huyo aliyesema kuwa Lissu amewanadilisha uraia watoto wake,ukweli ni kuwa hao watoto ambao ni mapacha walizaliwa Marekani wakati Lissu akiwa Marekani,hivyo uraia wao siyo wa kuandikishwa bali ni wa kuzaliwa, unapo argue uwe na data.
 
Nimesikitishwa mno na habari niliyosoma kwenye ukurasa rasmi wa Askofu wa CHADEMA ndugu Emanuel Mwamakula kuhusu basi la wanawake wa CHADEMA mkoa wa Mwanza waliokuwa wakitoka Dar kupigwa mawe huko Singida. Hiki ni kitendo kiovu kinachopaswa kulaaniwa. Vijana wanaotuhumiwa kufanya hivyo wakamatwe na kufikishwa mahakamani.

Ninawasihi vijana kutoka familia maskini kujikita kupambana kuuondoa umaskini kwenye familia zao badala ya kujihusisha na matukio maovu. Hakuna mtoto wa kigogo wa CCM au upinzani utamkuta kwenye matukio kama haya. Yaani hata kukuta mtoto wa kigogo anatukana mtandaoni ni ngumu. Wazazi wao wanajua kabisa kiongozi unatakiwa uwe na busara na kujiepusha kabisa na jinai.

Tusubiri taarifa ya polisi kwa ufafanuzi zaidi.
Ccm akili hamna kabisa, hao wahuni dawa yao ipo jikoni
 
Back
Top Bottom