Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana


sikiliza we jamaa..whatever the name you call yourself i dont give a shit about you,huna lolote kichwani na wala huna sifa ya kuniita mie sio GT..na hivyo vi degree vyako vya zoom college usitake kutisha watu hapa,ningekuona wa maana ungenambia hata una Phd,mbona wakati wakugombea ubunge wa EA ulisema unadegree moja ya POLITICAL SCIENCE na huku unajifanya ww unazo tatu..kama unadegree 3 weka vyeti vyako tuone hapa acha kutishia watu..nini kupiga picha na ao watu? me mwenyewe nishapiga picha na Mengi kwenye tamasha la watoto wasiojiweza na wenye ulemavu, nshapiga picha mpaka na mkulu kwenye campaign,usifanye kupiga picha na hao watu ndio big issue..we jama kichwani mwako ni NAZI TUPU..Infact huambiwi tu lakini wewe ni looser,na yawezekana huu usenge wako unaoufanya mtaani ndio ulimfanya hata baba yako akose ubunge tena,ndio maana hata demu wako yule mtangazaji wa capital radio(BAHATI) alikumwaga kwa kashifa kwa kuwa unajisifia kama demu,mwanaume unajisifia unaishi nyumba ya baba yako? we ni ---- kuliko mafala wote TZ,Wakati unajisifia unaishi nyumba ya baba yako watoto wa retired PM wanaendesha RECOGNIZED PROJECT ..ni CEO,MD we ni CEO wa mademu..na huyu mwanamke unayemfukuzia fb mwenye number inaishia ...33 atakutokea puani..jifanye mjanja wa mademu kumbe kichwani hakuna kitu kabisa,,,sasa nimeamini kwa nini hata ndoa yako ya kwanza imevunjika..mkeo alijitwisha gunia la misumali aisee,not easy kwenda along na kichaa kama wewe,hata huyo demu wako unayesema ungemuoa toka mwaka jana kakutosa sio kwa sababu anasoma MA ni kwa sababu amekuona wewe ni kiroba cha misumali hubebeki..do you think we ndio mtu wa kwanza kuwa na blog Tanzani?
go to hell huna nafasi ya kunielimisha mie..kawaelimishe hao mabeeez wa uswazi unaowapiga picha..hakuna society lady atakayekubali piga picha na chizi kama wewe..
 
Jinga jinga jingass mbumbumbumbuu low mind. Kula kulala.
 
- hahahahahaha Chezeya hiyo kitu natural wewe, kudadeki bonge kiss U know from mbebez wa ukweli U know I love it U know hahahahaha Chezeya wewe Adam mwenyewe alimkana Mungu hahahahaha

Le Mutuz
yaani haya ndio majibu ya mtu mwenye degree 3..time will tell
 
yaani haya ndio majibu ya mtu mwenye degree 3..time will tell


Rika lake ni la akina pinda na hao akina mwigulu...Nyalandu...hao hawampati kiumri....


Membe anamwamkia Lemutuz lakini ushangae ufundi Wa Mungu....

Kila nikimwangalia huyu Zamwamwa lemutuz na nikimwangalia na age mate wake pinda na Lukuvi huwa naishia na conclusion world is not fair......
 
- hahahahahaha Chezeya hiyo kitu natural wewe, kudadeki bonge kiss U know from mbebez wa ukweli U know I love it U know hahahahaha Chezeya wewe Adam mwenyewe alimkana Mungu hahahahaha

Le Mutuz



Hako kamdomo unavyokarembua kanafanana na boflo
 

mkuu huyu kichwa nazi akisoma hapa hataingia tena jf
 

Ha hahhh jf bhana
 

Punguza jazba mzee inaonekana lemutuz amekukomesha kapiga ikulu u knw! Haha chilax bro...
 

Tufanye Belgium alienda na miaka 20
Akakaa Belgium kwa miaka kama 6
Akarudi bongo tufanye mwaka 1
Akaenda kukaa USA kwa miaka 25
Amerudi bongo miaka 3 iliyopita

20+6+1+25+3=55

Nadhani kwa hesabu za haraka haraka kashawajibu wanaoulizia umri wake.
Na bado yuko UVCCM.
 


JF kisima cha burudani
 
Punguza jazba mzee inaonekana lemutuz amekukomesha kapiga ikulu u knw! Haha chilax bro...

Acha kujipendekeza pimbi wewe, Mzee wa miaka 55+ kujivunia kukaa kwa baba unaona ni sifa?

Hivyo videgree uchwara tumeshavijadili sana ni sawa na vile vyuo ambavyo vipo uwani kwenye majengo ya NHC Dar mjini au degree ya kwenye e-mail kama ya Mrema.

Katika mbwembwe zote alizojaza hapo nadhani la maana ni kazi ya ICD tu na siyo jitu kubwa zima unapotosha watoto wadogo ambao ni wanao na una uwezo wa kuwazaa kwa party uchwara eti Insta partx!! Mfyuuuuuuuuuu.
 


Lemutuz humu ni babu yetu aisee....

Yupo sawa na lukuvi...Pinda..Wasira...

Anaamkiwa na Membe...Nyalandu...Nchimbi n.k n.k

Tofauti yao ni kuwa wakati wenzake walishatulia na maisha wanaelekea climax huyo lembululaz ndo kwanza anatoka kwenye utoto kwenda kwenye u teenager.....

Wakati wenzie wanakaribia kujukuu yeye ndo anahangaikia mchumba Wa kufunga nae pingu za maisha uwanja Wa Taifa....

MTU wa miaka 60s hata personal hygiene sifuri yaani kuoga na kupiga mswaki mpaka siku ya mwenge au maadhimisho ya Muungano ni aibu....


Wengi wanalalama kuwa ananuka Sana kwapa...mdomo...na kwingineko
 

Ebu jaribu kuwa na heshma kwa wakubwa zako tafadhali, teh teh teh
 
Watu wengune waajabu sana mtu anafanya mambo yake haombi hela yako kinakuumiza nini?kama haendi kinyume na sheria si mumuache? Maisha ni kuamua kama wewe ulivoamua kuishi na yeye kaamua hivo basi kisikusumbue,kunawatu wanatokwa na mapovu kwa maisha anayoishi huyu jamaa nchi huru fanya lolote ilimradi huvunji sheria,muacheni mnauchungu sana na umriwake mpaka mjofanye walezi wake?
 

- hahahahahahahahaha sijaona hoja zaidi ya hasira na mapovu, nyumba ya baba yangu unasema ni Crime kuishi hahahaha, umesema mengi ila muhimu moja ulipojisema kuhusu ushoga umejisema mwenyewe kwamba unahusika na huo ujinga maana hii mada haihusu mashoga sasa wewe kukimbilia usenge ina maana unahusika nao pole sana ila hapa sio kwako hahahahahahahaah, huwezi kuwa looser ukawa Transportation Manager wa kampuni kubwa kama ICD unakuwa looser kwa kuja JF na kutumia majina ya bandia kutukana watu wanaokuzidi kwa elimu na maisha that is looser unabisha? hahahahaha

- KAJIPANGE TENA MAMEN U KNOW HAHAHAHAHAHAHAHAHAHA

LE BIG SHOW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…