Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana


- MAsikini wa Mungu huruma sana, hahahahahaha

Le Mutuz
 
Usiondoke jamani Le Mutuz ndio nafika sasa hivi
Nimeyamiss majibu yako u know....nayapenda sana u know....hahahahaaaa

Mhuu ameekukosha moyo wako i can see...
 
- MAsikini wa Mungu huruma sana, hahahahahaha

Le Mutuz

Hakuna cha maskini wewe ni mzazi na unaingia uzeeni acha kuharibu watoto kwa kuwapotosha na party za kijinga hazina kichwa wala miguu.

Nakuunga mkono kwa biashara yako ya blog na kazi ya ICD ina future nzuri lakini siungi mkono kuwatia ujinga watoto wa familia maskini.

Hebu hiyo mipicha unayopiga tuwekee picha hapa ambayo umewahi kupiga na binti mtoto wa kiongozi au anayetoka familia bora. Usituwekee Wema Sepetu aliyelelewa na single mother.
 

- Nonsense!!

Le Mutuz
 

aiseee!!! Ivi kuna watu hamna kazi za kufanya.,
all this energy,, for what!

You dont give a shit about him, yet you started him a thread.
 
[COLOR=#ff0000 said:
mpululu[/COLOR];11043303]no comment maana leo umetulia umejibu kweli kama una degree# hope mabeeez hawakwepo pembeni ndio maana umekuwa kwenye kiwango chako cha ubora...ila hapo mwishoni imekuwa jasili haachi asili




- Inafurahisha sana jamani naomba kila mwenye akili timamu hapa JF asome hizi quotes za mtu mmoja aniambie tuna deal na mtu wa aina gani hapa, infact anasema hata he does not give a shit about me eti ni kweli haya maneno yapo sawa na huo msemo, mkuu pole sana ila chagua moja kati ya haya yote maana haiwezekani mtu mmoja ukawa na mawazo yote haya against mtu usiyemjua kabisa au ni kaka wa my ex wife? hahahahahahahahahaha

Le Big Show
 
The last paragraph is so funny...I don't know whether a joke or reality
 

Kumbe Le big show hupatani na wakwe zako...
 
- Nonsense!!

Le Mutuz

Hakuna cha Nonsense tuoneshe picha uliyopiga na wabebez wa ukwe'he waliokwenda shule wanaotoka kwenye familia bora na watoto wa viongozi waandamizi.

Mfano;
Mwanaasha Kikwete, Pamela Lowasa binti wa Sumaye, charles Kimei, mabinti wa mzee ruksa and likes?

Wewe type yako ni makahaba kama Sinta CEO uchwaras.
 

Hahahahaaa.... Yani ulivyoandika kama kweli vile.. ila sio vizuri kweli kusema watu wazima. Akiacha laana itatupata wote humu ndani
 
Hyu lemtumbaz ni janga lingine la taifa
 
- Le mbebezzzz jamani nakupenda mpaka naumwa please marry me baby hahahahahahahahah I love it!!

Le Mutuz

Uzuri wako we jamaa ni kitu kimoja tu ndo maana hata kama mtu anakuchukia hususani wanaume lakini atajikuta anakupenda tu....unajua kitu gani?huna madhara na watoto wa kike yaani ukishapiga nao picha kwako burudaaaniii...huwatamani wala nini kuwachapa nao!unaishia maneno tu!safi saanaa LE JOKAZ LA KIBISAZ.....wanakupaka unanuka mdomo lakini tunashangaa wenyewe wanajileta kupiga picha na wewe!wanakoma na mashati yako makubwa ya kinyamwezi!bei hawayawezi wewe unadhani jeuri unayoionyesha ya kuvaa shati kubwa moja ambalo linaweza kutoa mashati nane kwa mtanzania mwenye mwili wa wastani ni suala dogo...hawakuwezi kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…