Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Le mutuz hana kitu chochote alichofanya zaidi ya kufungua ki blogu uchwara..
Le mutuz anatumiwa na wauzaji wa madawa ya kulevya wakina kinjekitile, davis mosha, juma pinto kuwatafutia punda wa kubeba madawa hasa mabinti anaopiga nao picha
Umeitoa kwa sinta hiii post
Si vizuri kuwasema watu wa rika la wazazi wetu..
Le mutuz ni sawa na Baba yetu humu Jf, wengine wanatakiwa kumwita Babu humu...
Hata kama ni mburulaz lakini ni Mzee wetu, tumsitiri.
Tena siyo vizuri watu mnaposema eti shati lake linaweza kufunika Gari kama Vitz.

Ngoja tupite tusije pelekwa cyber crime makao makuu ya polisi.
Inawezekana ndo kaiandika hata kule.
Le mutuz hana kitu chochote alichofanya zaidi ya kufungua ki blogu uchwara..
Hahahaha u knw utafungwa ...
Ni mjumbe wa jumuiya wa wazazi CCM...mzee wa mabebs wa ukweeeee! You know!! Ha ha haaaaa!! Ngoja aje mwenyewe W. J. Malecela njoo huku
Pia ni mjumbe wa UVCCM.....
Inatakiwa siku akiingia ofisi za UVCCM mkimbizeni na mayai viza.Jamaa alikuwa chipukizi wa TAA akaja akawa TANU youth league mpaka leo linajidai UVCCM.