Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana

Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana

Le mutuz anatumiwa na wauzaji wa madawa ya kulevya wakina kinjekitile, davis mosha, juma pinto kuwatafutia punda wa kubeba madawa hasa mabinti anaopiga nao picha

Ukn this is serious allegation u knw ngoja aje
 

Attachments

  • 1414702808764.jpg
    1414702808764.jpg
    50 KB · Views: 1,981
  • 1414702843886.jpg
    1414702843886.jpg
    35.2 KB · Views: 1,958
  • 1414702898815.jpg
    1414702898815.jpg
    53.1 KB · Views: 1,959
Si vizuri kuwasema watu wa rika la wazazi wetu..

Le mutuz ni sawa na Baba yetu humu Jf, wengine wanatakiwa kumwita Babu humu...

Hata kama ni mburulaz lakini ni Mzee wetu, tumsitiri.

Tena siyo vizuri watu mnaposema eti shati lake linaweza kufunika Gari kama Vitz.

We ndo umechokoza kabisa, ngoja aje!
 
Ana miaka 50+ (bado anaishi kwao kwa mshua)

Ni mtoto wa aliyewahi kuwa waziri mkuu na
makamu wa pili wa raisi wa TZ enzi za mwalimu

Karibia nusu ya umri wake ameishi Marekani (alikuwa anabeba boksi)

25+ ya wanaJF ana uwezo wa kuwazaa(ni watoto wake)

65+ ya wanaJF ni sawa na wajukuu zake

20141029_210554.jpg
 
Si vizuri kuwasema watu wa rika la wazazi wetu..

Le mutuz ni sawa na Baba yetu humu Jf, wengine wanatakiwa kumwita Babu humu...

Hata kama ni mburulaz lakini ni Mzee wetu, tumsitiri.

Tena siyo vizuri watu mnaposema eti shati lake linaweza kufunika Gari kama Vitz.

hiya ya kufunika starlet ya zamani sasa hivi mpya ni mpana kama bahari ya hindi
 
ili ikusaidie nini?? utajua ya wangapi? utakuwa conncerned na maisha ya wangapi??

poteza kujifunza kuandika vizuri kwa kuweka paragrpah ..anzia hapo

hawa wengine wanaishi hivyo na wanapata fedha kwa style hiyo ya maisha

ulivyomsoma tu na kumfuatilia tayari ashalipwa kwa kupata kichwa chako

ushanisoma??
 
Mimi nashukua commercial break kama Le Bron

 
Last edited by a moderator:
Ili kudumu na mwanaume kama Le Mutuz kwenye Mahusiano lazima utumie cha Arusha kidogo ....katika hali ya kawaida masifa yasiyokuwa na maana hakuna mwanamke anaweza vumilia aisee ! degree tatu tangazo la Biashara , kila mwanamke Mjini umshike kiuno ! haaa yataka Moyo Band tu hapo
 
Back
Top Bottom