Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana

sijakusoma na wala sina time ya kukusoma..haya kachukue posho kwa huyo mmeo
 
Inatakiwa siku akiingia ofisi za UVCCM mkimbizeni na mayai viza.Jamaa alikuwa chipukizi wa TAA akaja akawa TANU youth league mpaka leo linajidai UVCCM.

Umri wake umeganda eti...hauendi wala haurudi ..Forever young...
 
Mwacheni mzee wa watu, si bora huyu hahujumu uchumi wetu, hao wenye umri wake wanaojidai wana busara lakini wezi wa rasilimali za nchi hii, wanaibia wananchi kila kukicha ndio ndio mnapaswa kuwashangaa na kuwabeza lkn nt this guy.
 
hiya ya kufunika starlet ya zamani sasa hivi mpya ni mpana kama bahari ya hindi
Hahaha hii ya bahari ni karez uknw....
Hahahahahaha uknw miss neddy utafungwa..hahahahaha
Nasikia wanasema bukta yake inafunika scania u knw mabebiz wakarez wana mkubali maana yeye ni big Star....
 

Attachments

  • 1414734460869.jpg
    8.8 KB · Views: 1,171
  • 1414734479672.jpg
    46.2 KB · Views: 1,145
  • 1414734514338.jpg
    40.7 KB · Views: 1,138
  • 1414734558793.jpg
    47.2 KB · Views: 1,135
Last edited by a moderator:
Huyu amekaa marekan over 30yrs anaosha wazee mavi nakufanya kwenye kazi yakuosha vyombo kwenye migahawa..amekimbia amerika nakuacha watoto na mama wakizungu kule boston ameshindwa walea akakimbilia bongo, ikumbukwe hakula vizur ujana kutokana kuosha wazee mavi 24/7 ndo mana kurud bongo anafanya upuuz ambao wenzake wakina Kinje waliufanya kitambo kutembea club zote akipiga picha na vitoto vya kike na mashat yake makubwa kama bendera ya chama.
 

hahahaaaaaa!!!!
hahaaaaaaaaa!!!
 
Watoto wa siku hizi hawana adabu...wengine wanadai mwili wake sawa na puto/boya la kuogelea




Uzuri wake mwenyewe hamind....anazidi kuongeza followers
 
teh teh teh. Mkuu umenichekesha.
 
King of all social media hahahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…