TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,763
- 11,873
Pia ni mjumbe wa UVCCM.....
Hiyo UVCCM ambayo Babu Le mutuz ni mjumbe ni Umoja wa Vikongwe CCM au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia ni mjumbe wa UVCCM.....
sijakusoma na wala sina time ya kukusoma..haya kachukue posho kwa huyo mmeoili ikusaidie nini?? utajua ya wangapi? utakuwa conncerned na maisha ya wangapi??
poteza kujifunza kuandika vizuri kwa kuweka paragrpah ..anzia hapo
hawa wengine wanaishi hivyo na wanapata fedha kwa style hiyo ya maisha
ulivyomsoma tu na kumfuatilia tayari ashalipwa kwa kupata kichwa chako
ushanisoma??
Hiyo UVCCM ambayo Babu Le mutuz ni mjumbe ni Umoja wa Vikongwe CCM au?
Inatakiwa siku akiingia ofisi za UVCCM mkimbizeni na mayai viza.Jamaa alikuwa chipukizi wa TAA akaja akawa TANU youth league mpaka leo linajidai UVCCM.
Inatakiwa siku akiingia ofisi za UVCCM mkimbizeni na mayai viza.Jamaa alikuwa chipukizi wa TAA akaja akawa TANU youth league mpaka leo linajidai UVCCM.
Hahaha hii ya bahari ni karez uknw....hiya ya kufunika starlet ya zamani sasa hivi mpya ni mpana kama bahari ya hindi
Yeah you know the mburulaaaaz hawaelewi!
Si vizuri kuwasema watu wa rika la wazazi wetu..
Le mutuz ni sawa na Baba yetu humu Jf, wengine wanatakiwa kumwita Babu humu...
Hata kama ni mburulaz lakini ni Mzee wetu, tumsitiri.
Tena siyo vizuri watu mnaposema eti shati lake linaweza kufunika Gari kama Vitz.
Umeitoa kwa sinta hiii post
Atakuja kukujibu zitakapo fika page 5! Unajua Lemutuz ni mtu maarufu sana nchini na anajuana na watu wengi sana hasa Mabebez wakarez uknw na yeye anafanya biashara ya utumbo u knw hahahhaha
Si vizuri kuwasema watu wa rika la wazazi wetu..
Le mutuz ni sawa na Baba yetu humu Jf, wengine wanatakiwa kumwita Babu humu...
Hata kama ni mburulaz lakini ni Mzee wetu, tumsitiri.
Tena siyo vizuri watu mnaposema eti shati lake linaweza kufunika Gari kama Vitz.
teh teh teh. Mkuu umenichekesha.Si vizuri kuwasema watu wa rika la wazazi wetu..
Le mutuz ni sawa na Baba yetu humu Jf, wengine wanatakiwa kumwita Babu humu...
Hata kama ni mburulaz lakini ni Mzee wetu, tumsitiri.
Tena siyo vizuri watu mnaposema eti shati lake linaweza kufunika Gari kama Vitz.
Umoja wa vijana...hehehee...
Hahahaha Mimi huwa namuombea kwa Mungu ampe maisha marefu ana nifurahisha sana! Ni mtu wa pekee hapa nchini