Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana

Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana

Ahahahahahaaaaaaa Le kochekozzzzzzzzzzzz ahahahahaaaaaaaaa U know
 
- Jamani thank you very much JF, yaani page 14 viewers 20,000 post isiyokuwa na kichwa wala miguu kwa kweli mnazidi kunipaisha juu sana U know buy the way:

- Le Mutuz Nationa Presents: "The All White Party" Jumamosi Tarehe 22/11/2014 at Escape 1 Beach Club Yamoto Band + Skylight Band + Barnabas + Rachelkizunguzungu jamani sio ya kukosa maana tuongee na kutengeneza pesa U know hahahahahahaha U know!!

Le Mutuz

Now das ma nigga for real.

When folks can't keep your name out their mouths that means there's got be something that you are doing right.

So if I were you I wouldn't change a damn thing.

Instead I'd double down even more because the only thing worse than being talked about is not being talked about.
 
- Jamani Nifah baby nakupenda mpaka naumwa U know le mbebezz mukareezzz U know hahahaha le Super mutindizzzzz U know me I love it please marry me baby for real U know!!

Le Big Show

Mbebz huyo.....hahahahaaa.

Eti le mbebez mukareeez......
 
hebu muachenni Le Mutuz aishi maisha yake. mmesema sana na haachi kwanini msimuache na huo utoto wake??? sio kila mtu ataishi kama nyinyi ambao mkoo perfect. mara mseme ana miaka 55 sasa pamoja na kuwa na akili nyingi mnafikiri mnaweza kumbadilisha mtu wa miaka 55???!!mara anaishi kwa babaake blah blah blah mlitaka aje apangishe kwenu???hapo anakaa kwa babaake mnapiga kelele je angepanga kwenu halafu akose kodi ya nyumba si mngekodi matarumbeta kabisa..... let him be whoever he wants and mind your own business
Darasani tulijadili hadi maisha ya minyoo,mammalia,reptiles hadi catarpillars seuze binadem,star,super celeb kama Le baharia!!utakufa bure na ugonjwa wa moyo,acha tutaniane na babu yetu
 
- Jamani thank you very much JF, yaani page 14 viewers 20,000 post isiyokuwa na kichwa wala miguu kwa kweli mnazidi kunipaisha juu sana U know buy the way:

- Le Mutuz Nationa Presents: "The All White Party" Jumamosi Tarehe 22/11/2014 at Escape 1 Beach Club Yamoto Band + Skylight Band + Barnabas + Rachelkizunguzungu jamani sio ya kukosa maana tuongee na kutengeneza pesa U know hahahahahahaha U know!!

Le Mutuz

Le mutuz tutakuja kukupa kampani,na nitapiga picha na wewe nikikuomba usikatae.
 
Mimi simchukii Le Mutuz kwanza hanijui,vilevile nimfagilie without gardem reason akati kaninyima kazi akuuu!

Haha hahaaaa kumbe unataka kazi tu?usijali nadhani amekusikia mwaya....
Le Mutuz ni mutu ya watu u know...
 
Uzuri wako we jamaa ni kitu kimoja tu ndo maana hata kama mtu anakuchukia hususani wanaume lakini atajikuta anakupenda tu....unajua kitu gani?huna madhara na watoto wa kike yaani ukishapiga nao picha kwako burudaaaniii...huwatamani wala nini kuwachapa nao!unaishia maneno tu!safi saanaa LE JOKAZ LA KIBISAZ.....wanakupaka unanuka mdomo lakini tunashangaa wenyewe wanajileta kupiga picha na wewe!wanakoma na mashati yako makubwa ya kinyamwezi!bei hawayawezi wewe unadhani jeuri unayoionyesha ya kuvaa shati kubwa moja ambalo linaweza kutoa mashati nane kwa mtanzania mwenye mwili wa wastani ni suala dogo...hawakuwezi kabisa!

le mutuz nijibie huyu Muuza Sura anakuchokoza
 
Last edited by a moderator:
Haha hahaaaa kumbe unataka kazi tu?usijali nadhani amekusikia mwaya....
Le Mutuz ni mutu ya watu u know...
Mm
Mam hujaona proposal ya Le baharia Le sexy man!hapa unanipromise kama mke mtarajiwa au super fan wa Le baharia?!
 
Huyu Le Mutuz zamani nilikuwa simwelewi ila nimeanza kumwelewa karibuni tu.
Na tangu nianze kumwelewa nimemsalute, sisemi kitu.
Anajua kucheza na akili za watu.
 
Mm
Mam hujaona proposal ya Le baharia Le sexy man!hapa unanipromise kama mke mtarajiwa au super fan wa Le baharia?!

Hahahaaaa acha uchokozi bwana....
Mimi ni le super fan u know....
 
- Jamani thank you very much JF, yaani page 14 viewers 20,000 post isiyokuwa na kichwa wala miguu kwa kweli mnazidi kunipaisha juu sana U know buy the way:

- Le Mutuz Nationa Presents: "The All White Party" Jumamosi Tarehe 22/11/2014 at Escape 1 Beach Club Yamoto Band + Skylight Band + Barnabas + Rachelkizunguzungu jamani sio ya kukosa maana tuongee na kutengeneza pesa U know hahahahahahaha U know!!

Le Mutuz

Hahahahaha I like it
 
Attachments

  • 1415128312363.jpg
    1415128312363.jpg
    59 KB · Views: 273
- Muwache huyo ni my babby U know nampenda mpaka naumwa

Le Mutuz

Hahahaha uknw nifah mbebiz mkarez lazima nipige nae mapicha kama sabini ili supergardem Mazafantaz wanunune hahahaha! Unajua nina degree tatu ndio maana Mbuluraz wananichukia na nina wazidi shule hahahahahahaha! I like it!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa itabidi nikutafute tupige selfies za kumwaga u know...ili madebe matupu yazidi kupiga kelelez u know...
Na watuwache tulale le super gadem mburulazz wasikupe headache

Madebe matupu... Le fisi ahahahah Le Mutuz nation ni balaa
 
Hivi wanaume wanasema wanawake ni wambea, halafu hawapendani halafu wanasengenyana. Hivi mnaweza kutoka na kusema men mliochangia mjadala huu negatively tena kwa matusi ya nguoni, kwa kumnanga mtu maumbile yake nyinyi sio wambea, you are not malicious? Shame on you. Le mutuz yuko successful sana tu, kwani kama ameamua kudeal na ujinga wa wa TZ na ukamuingizia pesa kuna shida gani? Na katushika hasaaa, tumeacha kazi zetu kujaza pg 14 za comments! He is old, so what? wangapi baba zetu wamestaaf hawana hata nyumba, au wana nyumba za ovyo tu? Wangapi baba zenu wana dogo dogoz? Mti wenye matunda hupigwa mawe. Sisemi kwamba yuko right au anachokifanya na mie natamani kufanya, lakini what the heck! Its none of my bussiness!

Mama yuva nakupenda mpaka naumwa u know,Le mbebez mukareez,King of all bongo social networks me I love it,u know hahahaha u know
Le baharia
 
Anazo degree za madebe..... mtu msomi hawezi reason kishamba hivyo au yawezekana nati Fulani hazijakaza kichwani
 
Anazo degree za madebe..... mtu msomi hawezi reason kishamba hivyo au yawezekana nati Fulani hazijakaza kichwani
Mtazamo wako, we umesoma unataka nini na yeye amesoma anataka nini? hamuwezi kufanana. He is living his life anavyopenda yeye!
 
Huyu Le Mutuz zamani nilikuwa simwelewi ila nimeanza kumwelewa karibuni tu.
Na tangu nianze kumwelewa nimemsalute, sisemi kitu.
Anajua kucheza na akili za watu.

- Hatimaye katokea mtu mwingine mwenye akili please ondoka hapa niachie haya mazumbukuku yangu yanajua sana kutukana matusi, mimi natengeneza pesa hapa hapa niwachie watu wangu kaka utawaamsha bure usingizini watanishitukia, hahahahahahahahah

Le Mutuz
 
Now das ma nigga for real.

When folks can't keep your name out their mouths that means there's got be something that you are doing right.

So if I were you I wouldn't change a damn thing.

Instead I'd double down even more because the only thing worse than being talked about is not being talked about.

- hahahahaha Yo Worup! worup! maan loong time my nigga you know I am back in Africa still keeping it real U know, za niggaz here are like damn man cant get the juicy of where I am coming from U know so I am like damn man I git the juice so nigazz are in super trouble mazafantazzz U know, hahahahahaha

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom