Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana

O.M.G seriously? Napataga shida sana na watu wanaopenda kupakaza mbovu za watu wengine, hasa hasa wanapokuwa too personal! Najiulizaga maswali mengi sana. Because ukisema mbaya, hasa kwenye kadamnasi you never know, unaweza kuonekana mbaya wewe zaidi! Just thinking aloud, kimya kimya nimewaza mengi zaid, U know. You don't like him, basi usifuatilie post zake, stay away, ukifuatilia ina maana anakushika somewhere? If you think Le mutuz ni mburulaz, then kwa nini unatolea povu mburulaz? For me umburula zaidi ni kushadadia maisha ya mtu mwingine, hadi unachukua komputer yako na kutengeneza insha ya maswalii ndeeeefuuuuu! Lazima kuna unachotamani hapo sio bure, unatamani na wewe baba angekupa nyuma usiwe na worries za pesa? Unataka umaarfu na wewe? What exactly do you want from him? Sihitaji jibu btw but kama nilivyosema just thinking aloud, na wewe unaweza kuthink kimya kimya. nilikuwa simjui Le mutuz lakini umenifanya nimjue na kuangalia post zake. Kama wewe sio manager wake, then Mhu, kaimbe tenzi 59!

Le loud thinker!

dada ukipata mchumba kihelele kitakuisha na utaacha kupapalikia wanaume
 
I will be back for you...but try kuwa natural justice,,huyu jama alimshambulia sana Siti Mtemvu wakati wa SAGA lake lakini mlikaa kimya,aliwasema sana Times FM wakati wa Saga la Davido,juzi hapa kamtukana Warioba lakini watu hawakusema lolote..anatukana watu kibao watu wana kimya..sasa yeye ni nani huyu Lemutuzi asiguswe?
 
Acha ubwege wewe,eti watoto wangu wanasoma USA? Unajua wanalipa ada shingapi? unajua wanakula nini? we jama hovyo sana..the good thing mkeo ndio aliomba talaka baada ya kuona we hubebeki wala huna hata vision, tena acha kujilinganisha na Dr Slaa au Mheshimiwa Sugu..yaani huwafikii wala sio saizi yako wenzio hao wanasomesha/wanalea watoto wao na wala hakuna hata mmoja anayeishi kwa baba yake hapo..(Dr is your agement na Sugu ni mtoto wako pia anaweza kuwa hata mjukuu kwako but wewe na wao ni kama Mbingu na ardhi),mwaka jana ulisema unaoa vipi imeishia wapi? oooh demu wangu msomi KUJISIFISHA tu ,kweli ni msomi ndio maana akakumwaga tena vibaya ,,demu saizi yuko kwa bwana mdogo....na soon ndoa inapigwa, we jitahidi ulee mtoto huyu wa b...g mwezio usimtelekeze kama ulivyofanya kwa watoto wengine mkuu, vipi siku hizi umeacha kuazima gari ukawalingishie mabebezzzz?

- Full of nonsense yamekushinda nimekuuliza swali wewe ni mbebez au mwanaume maana sijawahi kuona Mwanaume anaandika majungu ya kitoto kama haya wewe ndio unawatumia pesa watoto wangu mjinga sasa unataka nini niweke hapa risiti ninazowatumia hela, unahangaika kila kona nimekuuliza baba yako umemjengea apartment ngapi hapa mjini hujajibu unakuja na maswali ya kipashu nimekuuliza apartment ninayoishi Jamhuri Street ni ya baba yako mbona hujibu hahaha, kam demu nina msomi kuliko yule niliyemuwacha so tuliza boli nitamuoa for sure na ninaishi naye sasa hivi kama hujui, wacha kelele za debe tupu wewe huna maisha kwenye hii dunia ungekuwa nayo usingekuwa na muda wa kuandika huu ujinga ujinga, pole sana

- ila karibu sana 22/11/2014 maana pale Escape 1 Beach Club nategemea kufanya maajabu ya kuwakutanisha Yamoto na Skylight Band, uliza unaihitaji hela ngapi kufanya hiyo kitu nyamza mkuu nenda katafute umbeya zaidi hahahaha

Le Big Show
 
I will be back for you...but try kuwa natural justice,,huyu jama alimshambulia sana Siti Mtemvu wakati wa SAGA lake lakini mlikaa kimya,aliwasema sana Times FM wakati wa Saga la Davido,juzi hapa kamtukana Warioba lakini watu hawakusema lolote..anatukana watu kibao watu wana kimya..sasa yeye ni nani huyu Lemutuzi asiguswe?
Picking Speed!
 
O.M.G seriously? Napataga shida sana na watu wanaopenda kupakaza mbovu za watu wengine, hasa hasa wanapokuwa too personal! Najiulizaga maswali mengi sana. Because ukisema mbaya, hasa kwenye kadamnasi you never know, unaweza kuonekana mbaya wewe zaidi! Just thinking aloud, kimya kimya nimewaza mengi zaid, U know. You don't like him, basi usifuatilie post zake, stay away, ukifuatilia ina maana anakushika somewhere? If you think Le mutuz ni mburulaz, then kwa nini unatolea povu mburulaz? For me umburula zaidi ni kushadadia maisha ya mtu mwingine, hadi unachukua komputer yako na kutengeneza insha ya maswalii ndeeeefuuuuu! Lazima kuna unachotamani hapo sio bure, unatamani na wewe baba angekupa nyuma usiwe na worries za pesa? Unataka umaarfu na wewe? What exactly do you want from him? Sihitaji jibu btw but kama nilivyosema just thinking aloud, na wewe unaweza kuthink kimya kimya. nilikuwa simjui Le mutuz lakini umenifanya nimjue na kuangalia post zake. Kama wewe sio manager wake, then Mhu, kaimbe tenzi 59!

Le loud thinker!

- Salute Mama Yuva for Presidency hahahaha umempa za uso saaafa sana namuuliza jamaa kama ni mbebez au mamen maana sijawahi kuona mamen anaandika umbeya like this hahahahaha, mkuu chukua moet hapo karibu nakuja kulipa U know hahahahaha

Le Mutuz
 
I will be back for you...but try kuwa natural justice,,huyu jama alimshambulia sana Siti Mtemvu wakati wa SAGA lake lakini mlikaa kimya,aliwasema sana Times FM wakati wa Saga la Davido,juzi hapa kamtukana Warioba lakini watu hawakusema lolote..anatukana watu kibao watu wana kimya..sasa yeye ni nani huyu Lemutuzi asiguswe?

- hahahahahahah debe tupu le mazafantazzzz super gademu mburulazzzzz ukitaka ligi na mimi tumia jina lako kama mimi fisi wewe muoga muoga utashindana na mimi utaweza wapi ngoma nzito hii, hahahahahaha huyu nime delete instagram ndio maana anlia lia pale siruhusu wajinga kama wewe so just relax and bring on!! hahahahahahah, Chezeya Degree 3 wewe

weka vyeti vyako hapa kama una degree 3,na mie nitaweka vya kwangu..usisahau cha form four kuweka pia ila najua cha form six huna..mie nitaweka cha form 4,6, undergraduate na MA..ILI NIKUSAIDIE KUTOFAUTISHA KATI YA VYUO NA VICOLEGE VYA ZOOM
 
- hahahahahahahahahahahah naomba kukuuliza swali tena wewe ni mbebez au mamen maana sijawahi kuona Mwanaume anaandika this kind of majungu na umbeya, nauliza tena wewe ni mamen au mbebez?, otherwise vyuo nimesoma Belgium na USA nenda Instagram yangu utaviona na hata mwanzo nilipokujibu vipo, pole sana mimi sasa hivi nipo ofisini kwangu hapa downtown bongo wewe upo wapi kwani?

Ila Belgium ulichukua diploma hivi?
 
Mpululu kaka yangu mpotezee babu qna pressure asije akaanguka bure,achana naye he is way too far from u in all senses if u knw what i mean....
 
- hahahahahahahaha ila please people msikose Tarehe 22/11/2014 live at Escape 1 Beach Club itakuwa ni kivumbi U know

Haya Le billionea,Le shemeji....le sexy sexy.....le babu....poa pamoja sana...
 
advised noted mkuu...

Weeell. Hiyo ndio spirit, swali limeulizwa, limejibiwa end of story. Nilikuwa naenjooooooy mwenyewe, bathi thatha, ntatafuta ugomvi mwingine niushadadie. Le goodnight, loooovez! Mmenientertain.
 
.. huyu jamaaa alikaa sana ulaya.... SI UNAJUA ULAYA HAKUNA WAZEE WALA WATOTO
 
Weeell. Hiyo ndio spirit, swali limeulizwa, limejibiwa end of story. Nilikuwa naenjooooooy mwenyewe, bathi thatha, ntatafuta ugomvi mwingine niushadadie. Le goodnight, loooovez! Mmenientertain.

Hahahahaaaaaah unapenda ugomvi wewe....
 
Back
Top Bottom