Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana

Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana

- Ok walete hao vikapurwa wako wa mtaani hapa JF kama watapata hata page moja tu ya kujadiliwa na Great Thinkers, tizama limetajwa jina langu tu hapa la biashara Le Mutuz Nation tayari page 10 na viewers 13,000 wewe unachezeya Celebrity tuliza boli wewe, thank you JF 10 pages 13,000 viewers bila hata mimi mwenyewe kuwepo that is wasap maana I love it!!

Le Big Show
ndo faida za kua na degree tatu hzo uongo?
mwee watu utadhan wanawaza kwa kutumia masaburi
 
- haha hahaha leo Escape One kwenye bataz karibu sana !

Le Mutuz

Ona wewe babu yani hizo degree 3 zitakuwa za Chooni maanavwenye degree 3 hata km ni fake hawana akiri kama zako unafanya ujinga utamuua yule mzee kwa pressure umuache mama kilango analia.badilika wewe sijui mgogo wa wapi una akili ya mapichapicha na wanawake tu hovyo kabisa wewe
 
Back
Top Bottom