njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Kijana katengenezwa na propaganda akawa mkuubwaa hadi yeye akajishangaa , ukweli ni kwamba hizi teams 3 za bongo zinalipa mishahara ambayo huko west africa wachezaji hawana kabisa lakini Aziz key propaganda yake na jinsi walivyo handle suala lake lita wa cost sana mbeleni huko
***Sharti la kwanza M burkinabe mwenzake Yacouba alivyoona hana nafasi akamdokeza kwamba akubali kuja ila sharti Yacouba asitolewe yanga sasa sijui anaenda Geita gold kwa mkopo kweli au la
***Kijana anataka apangiwe nyumba nzima yeye na familia yake
***Kijana hataki kukaa kambini anataka atokee nyumbani(patamu sana hapo)
**Kijana atakula mshahara mkubwa sana na pesa ya signing fees plus mshahara ina disturb balance ya vitabu na cash iliyotolewa na Gharib ya usajili
***Mambo yameyumba kimahesabu kiasi kwamba kambi inaweza kwenda kuwekwa karatu siyo boston tena
Kijana kakuzwa kupita kiasi acha avimbe ila wenzake wakianza kumsusuia haswa wa congo ndipo mtajua maharage ni mboga au kiwanda cha kufyatulia ushuzi
**Sasa kwa propaganda zilipofikia inabidi tu atambulishwe kwa gharama yoyote ile ile mida ya wanga ila walahi nasubiri kwa hamu maringo yake aya apply msimu ukianza