K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,780 Reaction score 15,488 Aug 25, 2026 #1 Nchi ya Tanzania sasa ni koloni la wanzanzibari makamu wanaotaka ni kama awe Dolly la kukaa na kuzubaa na kula rojorojo. Yaani mtu akisema nchi ipiganie katiba ni tatizo tujiulize kwanini na tunaenda wapi?
Nchi ya Tanzania sasa ni koloni la wanzanzibari makamu wanaotaka ni kama awe Dolly la kukaa na kuzubaa na kula rojorojo. Yaani mtu akisema nchi ipiganie katiba ni tatizo tujiulize kwanini na tunaenda wapi?
Marcostilone JF-Expert Member Joined Jun 25, 2023 Posts 7,018 Reaction score 17,932 Aug 25, 2026 #2 Uwiano wa nguvu za kisiasa kwa sasa umeinama upande mmoja.