Kama ni kweli Makamu ajaye atakuwa kama Dolly tu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Nchi ya Tanzania sasa ni koloni la wanzanzibari makamu wanaotaka ni kama awe Dolly la kukaa na kuzubaa na kula rojorojo.

Yaani mtu akisema nchi ipiganie katiba ni tatizo tujiulize kwanini na tunaenda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…